Mama mkwe nimemueleza aje amchukue binti yake kama anaona mimi namtesa

Muache.. Umeamua kuoa .. Kuoa Ni kumpa ajira mwanamke.. Umemuajiri mwanamke .. Mrudishe kwao ukiwa Sawa kiuchumi utamfata
Amuandalie na pension yake kabisa au ampe likizo na malipo juu
 
Tafuta pisi Kali kuliko yeye halafu mtambulishe kwake mwambie kuanzia Leo huyu namwajiri ndio atakua anauza duka la maji, wewe utarudi nyumbani kwenu kwakua unaona nakunyanyasa.
 
Wachana na huyo mwanamke mapema sana kabla jua halijazama, kwa maelezo yako huyo mwanamke ni wale mademu wasiojua maisha wenye tamaa ya maisha mazuri na kujiona yeye na mwanaume ni wako sawa. Haoni kwamba yeye ndiyo maskini ila anaona wewe ndiye maskini kuliko yeye shenzi zake.


Hallelujah!!!
 
Ukiona Kipato chako hakitosholezi kuishi na mtoto wa watu....
 
Wanawake wa namna hiyo ni Kwa wale ambao wazaz wao hawawaambii ukweli. Ni wale wanawake ambao waliwahi kutegemewa na WAZAZI kama Msaada Kwa mambo ya kifedha. Unakuta mwanamke anampa habar za maisha ya familia yake kuwa anateseka na anateswa na mume wake. Mama au mzazi anahisi kama Kuna maisha ya mazuri ya mwanae yapo MAHALI flani sehemu flani hivi. Mzazi anaona kama mwanae alikosea KUOLEWA na wewe. Kuna muda wanakumbushia maisha na Binti yake kuwa Kuna muda binti yake aliishi life zuri why hayo maisha yasijirudie . Kuna muda wanaweza kuambiana kuwa Binti aende alikokuwa hata kama alikuwa anajiuza! Yapo mengi, mzazi hamkaripii mwanae na kumsihi kuwa ndoa huwa mafanikio hayaji haraka .maisha ya ndoa siyo mlima kileleni kwamba unateremka tu kutoka kileleni. Yana kukosa na na kupata ..Kuna muda mtalala njaa endapo mipango haitakaa sawa.sio Kwa sababu hamfanyi kazi.. Bali mfumo tu umekaa vibaya siku hiyo. Utalazimika kukopa Ili UISHI! Kazi ya muda huwa haileti uhakika wa ridhiki katika nyumba.. hata hizi kazi za kudum serikali au kwenye mashirika nazo Kuna muda hazina mwenendo mzuri wa uhakika wa fedha na chakula katika nyumba.
FANYA YAFUATAYO.
1 . Mwambie mzazi wake amwambie mwanae/ Binti ukweli.
2. Mwanamke HAJUI anachokitaka siku zote, hata siku moja usije ukajidanganya kuwa utamridhisha Kwa kumpa vitu. Badala ya kutumia laki 500000 aridhike, nenda kanunue shamba au kiwanja,.
3. Weka akiba Kwa kiasi kidogo unachopata kila siku au kila week,.
4 . Lea watoto wako kama unao maana hao ndio ndugu zako wa damu..waoneshe mapenzi kuwa upo na wewe ni baba Yao.
5. Usilie Kwa ajili ya mwanamke au usidhani kuwa asipokuwepo yeye maisha hayataenda.. Hawa watu ni kama Viti tu.. usipokaa wewe mwingine atakaa.
 
Pole sana mkuu
Wanawake ni mitihani kwa wanaume kama hujasimama imara kama anashindwa kukuelewa na kuvumilia kipindi kigumu sio salama kwa ndoa yako
 
Ngoja wafia ndoa waliokunywa maji ya ndoa waje kukuzodoa
#kataa ndoa
 
Hii ni kubwa sana, kama haya uliyoyaandika hapa unayaishi, bhas uzidi kubarikiwa 🙏🏻
 
Tatizo lake hatujui kuchagua mke ila tunajua kuchagua demu na kuwazoesha pesa siku tukija kuwaoa na tukaishi nao kiuharisia wa maisha yetu kimbembe kinaanza, Alimzoesha kumpa pesa kipindi cha uchumba na hajawai kumnyima ata siku moja, Mwanamke anatakiwa.muda mwingine akiomba pesa anyimwe hasa kwenye uchumba.
 

Yeah!
Mwanamke anatakiwa ajue anaishi Tanzania kwèñye jamii inayoendelea Ndoto za telenova na novela za luningani aache
 
Piga chini.....
 
Wahanga wa ndoa ni wapumbavu sana. Nilishaacha kuwashauri. Kila mara tunasisitiza humu kuwa ndoa ni utapeli na haramu iliyohalalishwa lakini kuna watuhawaelewi kabisa. Basi kula chuma hicho.
 
Pole broo sikiliza hizo nyimbo
1.lady jaydee ft Tid "what I need from you is understanding"
2.sababu ya ulofa - top C
3.msondo ngoma - ajali(ukizaliwa mwanaume jua Kila kitu kwako ni tabu)
4.Mme bwege-bushoke
5.Yako wapi mapenzi-Christian bela
6.Usilie-christian hela ft banana zoro
7.Mjomba-mrisho mpoto ft banana zoro anakwambia "Bora kujenga daraja kuliko ukuta" kazi kwako mkuu🧠

 
mkuu, hizo nihela zako yeye anataka kuwa na helazake.....mruhusu akajitume acha ubabaikaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…