Mama Mkwe wangu ananivunjia heshima

Dishi lake likafanyiwe re-alignment kwenye hospitali kongwe Dodoma
 
Huyo mama mume wake alifariki au aliachwa??
Kama ni singo maza wa kuachwa wengi wao wanakuaga na wivu kwa watoto wao.

Kama mwanamke kalelewa na singo maza basi katatizo kanaweza kua kwa mke kwa kuiga tabia za mama au mama kwa kua na wivu kwa mwanae.
huyu mama mkwe atakuwa single mother anatafuta yake, mm kidume ningeuza shamba lote na nyumba sikubali udhalilishaji wa kushare chumba
 
Fanya Maamuzi Magumu ya Mwanaume Kamili hadi huyo muMama ateteme sio yeye kukunyong'onyeza ivo.

Take full control and authority over your family matters without interference or intimidations from anybody around, be bold 🐒

R.I.P Laigwanan Comrade EL
 
Robert Heriel Mtibeli Njoo utoe hoja hapa Maana Mtibeli ana principle zake..Mpk nikakukumbuka JINSI unavyofundisha mtt wa kiume kuwa Mwanaume..

Kama mtu huwezi kuheshimu mipaka yako. Nani atakuheshimu?
Tatizo lipo kwa Mtoa mada na sio huyo Mama mkwe.

Vile unavyojiweka ndivyo Watu wanavyokuchukulia
 
Kiranja Mkuu

Pole sana.
 
unakosea kudeal na mamamkwe moja kwa moja, unatakiwa kudeal naye indirectly kupitia mtoto wake, finya mkeo afu yeye ndio atamfinya mamake. kwisha.
 
Hivi,hujawaji sikia kwamba kabla ya kutongoza mke mtarajiwa,kuwa na mahusiano kwanza na mama yake. Leo hii unataka kupasuka kichwa. Unadhani mwanae atakuwa tena wa thamani kwako!? Hata likimkuta jambo,utaona ndo walivyo.
Umejuaje mwanae si kwamba bado kaficha makucha?
Ulioa kwa mcheza kigodolo!!!!
 
Mshana Jr, hebu msaidie kijana mbinu za kum handle mama mkwe mtundu
 
Mbona kama mama mkwe kaja kutawala mji wako au mimi ndo na uelewa mbaya?! Mkuu mchane ukweli anayofanya sio poa au kama haelewi fukuza huyo Mama haraka sana kabla hayajakukuta makubwa zaidi.... Najiuliza kama Mama mkwe ndo kichomi hivyo je mtoto wake yukoje nae?
 
Jamaa naona ndugu zake wote wametimuliwa sasa mke na nduguze ndio wanaotawa mji
 
punguza kumshirikisha alafu weka umbali kidogo sio lazima akae hapo kwako ongea na mkeo mpe picha kubwa unayoiona shirikianeni muweke mambo sawa ushamjua kidogo asikusumbue sana
 

Hapa ni kwamba metal mada karogwa akarogeka, kisha akarogwa tena makandokando ya mkewe hayaoni
 
namba 2 anatakiwa awasiliane na mama mkwe wake kwenye simu ya mkewe......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…