Mama Mobeto amnyakua mume wa tajiri Jesca kitambaa cheupe. Ama kweli mashangazi ni hatari

Mama Mobeto amnyakua mume wa tajiri Jesca kitambaa cheupe. Ama kweli mashangazi ni hatari

ngaiwoye

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
2,583
Reaction score
4,009
Yaliyojiri siku za karibuni, Kuna taarifa kwamba mama yake Hamisa Mobeto ambae ni Mama Mobetto amemnyakua bwana/ mume wa boss wa kitambaa cheupe Jesca Kikumbi.

Kufuatia mnyakuo huo bi Jesca amedata na kwenda vacation huko Serengeti, Huku akionyesha mwili wake mzuri kwa mavazi ya kuogelea, kitu kilichozua taharuki kwa washamba wa mtandaoni.

Pamoja na kua mzuri bwana yule Marioo hakujali na kukubali kuchotwa na kuhamia kwa Mshangaz Mama Mobeto.

Hii inadhihirisha mashangaz ni watamu na wanayajua mapenzi na kubembeleza.
Nashauri Jesca asishindane na X yule ambae alikuwa anamlisha na kumsaidia kwa Kila kitu...atapata bwana anaeijua thamani yake na sio mariooo.

Ma Mobeto awe makini mahari aliyolipwa na Azizi Kii itaisha mara moja kwa kulea hii marioo. Ama kweli hata mwanae Hamisa nae alimnyakua Aziz Kii kwa yule mzazi mwenzako actress na hakurudi Tena.

Pole sana Jeska

1755431068963.jpg
 
Yaliyojiri siku za karibuni, Kuna taarifa kwamba mama yake Hamisa Mobeto ambae ni mama mobetto amemnyakua bwana/ mume wa boss wa kitambaa cheupe Jesca Kikumbi.
Kufuatia mnyakuo huo bi Jesca amedata na kwenda vacation huko Serengeti, Huku akionyesha mwili wake mzuri kwa mavazi ya kuogelea, kitu kilichozua taharuki kwa washamba wa mtandaoni.
Pamoja na kua mzuri bwana yule marioo hakujali na kukubali kuchotwa na kuhamia kwa mshangaz mama Mobeto.
Hii inadhihirisha mashangaz ni watamu na wanayajua mapenzi na kubembeleza.
Nashauri Jesca asishindane na X yule ambae alikuwa anamlisha na kumsaidia kwa Kila kitu...atapata bwana anaeijua thamani yake na sio mariooo.
Ma Mobeto awe makini mahari aliyolipwa na Azizi Kii itaisha mara moja kwa kuleta hii marioo. Ama kweli hata mwanae Hamisa nae alimnyakua Aziz Kii kwa yule mzazi mwenzako actress na hakurudi Tena.
Pole sana Jeska
Weka haraka picha ya Jesca Kitambaa Cheupe, ili nimuwahi kabla hajaondoka huko Serengeti. Kuna wimbo mzuri nimemtungia. Nataka nikamuimbie live.
 
Back
Top Bottom