Mama Mobeto amnyakua mume wa tajiri Jesca kitambaa cheupe. Ama kweli mashangazi ni hatari

Mama Mobeto amnyakua mume wa tajiri Jesca kitambaa cheupe. Ama kweli mashangazi ni hatari

Yaliyojiri siku za karibuni, Kuna taarifa kwamba mama yake Hamisa Mobeto ambae ni Mama Mobetto amemnyakua bwana/ mume wa boss wa kitambaa cheupe Jesca Kikumbi.

Kufuatia mnyakuo huo bi Jesca amedata na kwenda vacation huko Serengeti, Huku akionyesha mwili wake mzuri kwa mavazi ya kuogelea, kitu kilichozua taharuki kwa washamba wa mtandaoni.

Pamoja na kua mzuri bwana yule Marioo hakujali na kukubali kuchotwa na kuhamia kwa Mshangaz Mama Mobeto.

Hii inadhihirisha mashangaz ni watamu na wanayajua mapenzi na kubembeleza.
Nashauri Jesca asishindane na X yule ambae alikuwa anamlisha na kumsaidia kwa Kila kitu...atapata bwana anaeijua thamani yake na sio mariooo.

Ma Mobeto awe makini mahari aliyolipwa na Azizi Kii itaisha mara moja kwa kulea hii marioo. Ama kweli hata mwanae Hamisa nae alimnyakua Aziz Kii kwa yule mzazi mwenzako actress na hakurudi Tena.

Pole sana Jeska

View attachment 3444222
Mbovu tu huyu demu ila pesa ndio inafanya tumuone mzuri
 
Sasa kwann zinaisha utamu?
Hamna mbususu iishe utamu,
kabibi kangu miaka 70 sasa nikikatafuna hata bikra haioni ndani.
Kanalowa kabichi kanatema utelezi mda wote km kabinti cha 18.
Haya huku kuna likikuyu mbunye ka sikio la tembo.
Ukizama ni km uko swimming pool beachcomber
 
Tuelezee uzoefu wako wa hiyo mbunge sikuona la tembo..ni tamu? Ina utelezi?
 
Back
Top Bottom