DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Hapo + plus + NGWESE hao wameipata kitambosasa ngwese ya jesca inaenda kusambazia upendo ma mobeto aisee
Hapo + plus + NGWESE hao wameipata kitambosasa ngwese ya jesca inaenda kusambazia upendo ma mobeto aisee
aiseee daaaahHapo + plus + NGWESE hao wameipata kitambo
kumbe kimeumana 😂😂😂😂. Chuma kwa chumaHapo + plus + NGWESE hao wameipata kitambo
sasa ngwese ya jesca inaenda kusambazia upendo ma mobeto aisee
Nan kaona makanyagioo kama yana yamejaa majiView attachment 3445346
Hata hivyo kakata utumbo karudi kua kijana
Nikisimama mimi na yeye, mimi mzee.
Usinambie dogo....fanya mazoezi ..fanya fasting ya mlo mmoja kwa siku...View attachment 3445346
Hata hivyo kakata utumbo karudi kua kijana
Nikisimama mimi na yeye, mimi mzee.
😅😅😅😅 iweee bojooooYes mkuu , hata kutazama unakuwa unatazma jicho moja.
Ana miguu minene mnooNan kaona makanyagioo kama yana yamejaa maji
Sawa subiri nibugie msosiUsinambie dogo....fanya mazoezi ..fanya fasting ya mlo mmoja kwa siku...
Ila tulia kwanza utaanza baadae baadae...kula kula kwanza
Then utanipa mrejesho
we jamaa acha hizo 😂😂😂😂😂 lakini si ukweli yule manzi Ana gwese.....Hii comment imechelewa sana kuja...
ngweseeeNan kaona makanyagioo kama yana yamejaa maji
Dah nime isoma kwa sauti yako 😂Tema mate chini.... hujaona vingi bado
Ni hayo tu
Kwamba shamba mbuzi anavyo kuwa mkubwa, ndio unono wa nyama waongezeka🦅😂Usikariri tu...watu hawafanani
Ni hayo tu
Duh cheki paja na tako hilo....watu wanafaidi hii dunia nyieYaliyojiri siku za karibuni, Kuna taarifa kwamba mama yake Hamisa Mobeto ambae ni Mama Mobetto amemnyakua bwana/ mume wa boss wa kitambaa cheupe Jesca Kikumbi.
Kufuatia mnyakuo huo bi Jesca amedata na kwenda vacation huko Serengeti, Huku akionyesha mwili wake mzuri kwa mavazi ya kuogelea, kitu kilichozua taharuki kwa washamba wa mtandaoni.
Pamoja na kua mzuri bwana yule Marioo hakujali na kukubali kuchotwa na kuhamia kwa Mshangaz Mama Mobeto.
Hii inadhihirisha mashangaz ni watamu na wanayajua mapenzi na kubembeleza.
Nashauri Jesca asishindane na X yule ambae alikuwa anamlisha na kumsaidia kwa Kila kitu...atapata bwana anaeijua thamani yake na sio mariooo.
Ma Mobeto awe makini mahari aliyolipwa na Azizi Kii itaisha mara moja kwa kulea hii marioo. Ama kweli hata mwanae Hamisa nae alimnyakua Aziz Kii kwa yule mzazi mwenzako actress na hakurudi Tena.
Pole sana Jeska
View attachment 3444222
Mgegedo mtamu wewe viben ten vinashe yeta mbususu vizuriHuwa nawashangaa sana wanawake wanaotembea na viben ten
Mimi siwezi hata nikifika hiyo age ya ushangazi ni heri niwe na mzee lakini siyo kijana ninayeweza kumzaaMgegedo mtamu wewe viben ten vinashe yeta mbususu vizuri
Unasema tuu ...huyo mzee akipanda seconds 45 kamwaga utaona anakuchafua tuu mwishoe unaona bora viben ten vishenyete mbususu ufurahiMimi siwezi hata nikifika hiyo age ya ushangazi ni heri niwe na mzee lakini siyo kijana ninayeweza kumzaa
Kuna wazee wanajipenda wanafanya mazoezi, wanakula vizuri kazi wanaiwezaUnasema tuu ...huyo mzee akipanda seconds 45 kamwaga utaona anakuchafua tuu mwishoe unaona bora viben ten vishenyete mbususu ufurahi