Wamezidi kwani unao wa ngapi? Si huyo mmoja baby mama wako?
Hapana mimi sina wala sijawahi kutengeneza single mother. Ila nawamind kwasababu nina wafahamu kwa tabia zao za kutengeneza matatizo kwa makusudi halafu wanakuja kwenye jamii kujichanganya na wajane na wanawake ambao kweli wametengwa na wanaume sio kwa wao kutaka kisha wanajifanya kutia huruma wakati ilikuwa ni maamuzi yao kwa makusudi.
Ungekuwa unawafahamu kama mimi vile ninavyowafahamu na kuwatambua kwa haraka ungekuwa unawamind kama mimi ninavyowamind. Sio watu wa kuonewa huruma hata kidogo,ni wendawazimu wanaojifanya ni wahanga wa hila za wanaume.
Mtu anakwenda kulala na mwanaume wa mtu kwa makusudi,na kujiwekeshea mimba kwa makusudi,why huyu aonewe huruma?
Mtu kwa makusudi anaamua azae na mtu ambaye hata mtoto wa miaka 7 akimtazama anajua hafai kuwa baba, tukiuliza sababu ni alikuwa anaona anachelewa kupata mtoto,alikuwa wapi kupata mtoto umri wa usichana tena mapema sana?
Mtu anarukaruka na kupuyanga kushoto na kulia kutafuta starehe za usichana then akistukia umri umeenda anamvaa yoyote yule anafosi mahusiano kwa kuzaa nae kisha anaachwa anasema ametendwa,haya sio makusudi?
Wanaume wenye nia nzuri wanakwenda kwao kuposa anakataa anasema yeye kwasasa ndoa hapana,anataka kwanza kupambana kutafuta ndoto zake ndipo zitimie aolewe,huyu akija kukosa wa kumua na kuzalishwa utasema ni bahati mbaya na anatakiwa kuonewa huruma?
Kuna hawa ambao tabia nzuri na kuonyesha discipline kwao ni hadi mwanaume awe na pesa za kumhonga kinyume cha hapo anakuwa hana adabu kisa ana mwili wa ngono,huyu akija kukosa wa kumuoa akaishia kuwa single mother utamuonea huruma?
Kuna hawa ambao anataka kuwa kama mama yake kwasababu ndio lifestyle ya mama yake basi anaamua kuwa wahovyo na kutafuta aidha mwanaume dhaifu au anatafuta mwanaume wa kuzugia ili mambo yaende mrama aseme alijaribu ila wanaume ni mashetani ameshindwa. Wa hivi nae ni wa kumuonea huruma?
Point hapa ni unasimama upande gani na kwasababu gani. Mimi nikiona madhara ya usingle mother kwenye jamii yetu nashangaa why hatuna sheria ustawi wa jamii kudhibiti hii hali isisambae zaidi ya sasa.
Hii kitu sio nzuri na tunatakiwa kuwa nayo personal katika kuichukia.