Mama Mobeto amnyakua mume wa tajiri Jesca kitambaa cheupe. Ama kweli mashangazi ni hatari

Mama Mobeto amnyakua mume wa tajiri Jesca kitambaa cheupe. Ama kweli mashangazi ni hatari

Kweli hapo kutakuwa na penzi...

Maana jamaa kaachana na mawe ya Jessica kakimbilia kwa huyi mshangazi...
Screenshot_20250818-162307.png

Hata hivyo kakata utumbo karudi kua kijana
Nikisimama mimi na yeye, mimi mzee.
 
Ukiwa angalia hawa mabinti wanao trend kuanika sehemu zao nyeti, ukitizama mabiwakubwa wao unaona wanafanana vitu vingi na watoto wao hasa kitabia, mtizame Wema,Hamisa, Posh, Sancho nk.
 
Yaliyojiri siku za karibuni, Kuna taarifa kwamba mama yake Hamisa Mobeto ambae ni Mama Mobetto amemnyakua bwana/ mume wa boss wa kitambaa cheupe Jesca Kikumbi.

Kufuatia mnyakuo huo bi Jesca amedata na kwenda vacation huko Serengeti, Huku akionyesha mwili wake mzuri kwa mavazi ya kuogelea, kitu kilichozua taharuki kwa washamba wa mtandaoni.

Pamoja na kua mzuri bwana yule Marioo hakujali na kukubali kuchotwa na kuhamia kwa Mshangaz Mama Mobeto.

Hii inadhihirisha mashangaz ni watamu na wanayajua mapenzi na kubembeleza.
Nashauri Jesca asishindane na X yule ambae alikuwa anamlisha na kumsaidia kwa Kila kitu...atapata bwana anaeijua thamani yake na sio mariooo.

Ma Mobeto awe makini mahari aliyolipwa na Azizi Kii itaisha mara moja kwa kulea hii marioo. Ama kweli hata mwanae Hamisa nae alimnyakua Aziz Kii kwa yule mzazi mwenzako actress na hakurudi Tena.

Pole sana Jeska

View attachment 3444222
Huyu ndo mmiliki wa kitambaa cheupe source of yutiyai?
 
Hao washazeeka na wanajitafutia mwisho mbaya .

Kwakuwa IPO wazi Papuchi ya miaka 30 na kuendelea ya Mwanamke inakuwa haina ladha sana sasa ndo ije iwe ya Jesca ya 40+ na mama mobeto 50+ hata kuangalia MTU unaogopa
 
Back
Top Bottom