Shammy-
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 7,174
- 18,884
M mpaka umri huu sijafikisha 30 namjua mwanaume mmoja tu so na mm utamu utapungua??asili au nature unajua Mwanamke kaumbwa Kama unavyoona ardhi , jinsi ardhi inavyotumika inakuwa inapoteza rutuba kwahiyo ukitaka kupanda mazao inakugomea hadi mbolea n.k