Kama ulifuatilia comments zangu " hoja zangu ziko pamoja kabisa na Kile anacho kiongea mzigua ....""My lady mzigua wewe ndo unaongea point humu wengine sisi hapa tuko na sides uko sawa 100%
Na ndio ukweli mchungu ambao Wanaomzunguka Hamisa hawamuambii wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa tuUnakua kama vile huelewi hawa wenzetu wanakuaga kurudi nyuma. Ukiangalia vizuri utagundua Hamisa ndo anampenda Diamond ila Diamond anamtumia Hamisa kupunguza ashki
Stupidy decision ever na anajuta ila sema ndo vile tu vimemuongezea umaarufu hapa bongo ila alichokifanya ni upuuzi pia kwa mtu mzima kama yeye wala sio wa kufanya vileZari naye kiboko aisee huwezi kum keep mwanaume kwa mimba aisee, au alivoona htaji la mond ndo akafanya hivo
Level ya kukubali kudhalilishwa na Diamond. Huko kwingine sipo naongelea hili la kumpa papa Diamond anaewabadilisha kama boxerKwa level hapa unatudanganya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Missa bado sana
Hahahhahaa Mkuu Tukija Kwenye imani hasa hao watoto Wa mondy Wote ni wazinaa.na upeo wako wote ulionao " Juu ya maandiko ya dini " leo umeongea haya "..... MAHABA NIUE NIPONDE PONDE KAMA NYANYA ...aisee....
Yule mtoto hagombaniagai mwanaume. Kwanza wanaume zake anawaibiaga mashoga zake halafu hata umpe kijembe vipii hakujibu anaangalia maisha yakeKabisa ndio maana Lulu atabaki Bongo movie mwenye akili tu maana anajua kula na kipofu huwa hapigi makelele wala kurusha vijembe.
Weee. Lulu haachiki yule. Anajua kukabaKumbe lulu alikaba had penalty sasa Hamisa ajitulize ajijengee heshima yake Lulu pamoja na kupitia makubwa akiwa mdogo alijirekebisha had sasa anafaa kuwa wife material kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kwa Missa hili ndio analopataFaida za umalaya ziko nyingi hata kupata orgasm ni faida
Uteam umewazidi wanashindwa kuona uhalisia.Na ndio ukweli mchungu ambao Wanaomzunguka Hamisa hawamuambii wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa tu
Wao wanaona Zari anastahili kumpa papa diamondLevel ya kukubali kudhalilishwa na Diamond. Huko kwingine sipo naongelea hili la kumpa papa Diamond anaewabadilisha kama boxer
Hakuna cha kizizi wala nini no kutokujitambua tu na kutaka umaarufu kunukaIla Diamond atakua na kizizi sio bure.
Nakubaliana na wewe hili ndilo pekee analipata na kuitwa mwanamke wa Diamond[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kwa Missa hili ndio analopata
Watasemaje na wao wanajua mazuri tuu[emoji3][emoji3][emoji3]mamaaa hawasemi hayoo!wanamuona Hamisa njaa aliyeomba 5mils per month[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaaaaa halili matunzo analilia tamu ya DomoUmeponza kichwa haswaa. Apambane na hali yake hamna mtu mwenye akili timamu atamuonea huruma. Akikosa matunzo ya D ntamuonea huruma ila kukosa Diki ya domo akajambe mbele
Naskia lulu ana akili mingi akiwa nyumbani ana act ka mama kumpikia majizo tofauti na misa yeye hata kupika tu ilikuwa issue.Weee. Lulu haachiki yule. Anajua kukaba
Na ndio akili kubwaYule mtoto hagombaniagai mwanaume. Kwanza wanaume zake anawaibiaga mashoga zake halafu hata umpe kijembe vipii hakujibu anaangalia maisha yake
Hapana yule mama anastahili mwanaume wa maanaWao wanaona Zari anastahili kumpa papa diamond
Ivan alimuoa Zari wapi?Nadhani ungeniuliza kazaa na nani na nani?
Jibu;
Ana watoto watano kazaa na Ivan aliyekuwa mume wake na Dai ambaye alikuwa mpenzi wake official vipi Missa???
Hawataki ukweli kabisaUteam umewazidi wanashindwa kuona uhalisia.
Na mwenyewe akiitwa hivyo roho yake inaridhika kabisaaaaNakubaliana na wewe hili ndilo pekee analipata na kuitwa mwanamke wa Diamond