Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

My lady mzigua wewe ndo unaongea point humu wengine sisi hapa tuko na sides uko sawa 100%
Kama ulifuatilia comments zangu " hoja zangu ziko pamoja kabisa na Kile anacho kiongea mzigua ....""

kama hauwezi kuachana na mpenzi wako tafadhali usipite pembeni na kumsema vibaya "" ikitokea ukarudiana nae wakati ulisha waambia watu kuhusu mabaya yake "" ......Wewe ndiye unaye onekana zuzu sasa "" kwa maana unakuwa umekubali " kufanywa mjinga "",(zuzu)
so hapo hakuna Mwenye nafuu zari 0 ..huyo hamisa naye sifuri " familia ya diamond platinum ndio kabisa walipaswa kuwa milembe "....hakuna watu mule
 
Unakua kama vile huelewi hawa wenzetu wanakuaga kurudi nyuma. Ukiangalia vizuri utagundua Hamisa ndo anampenda Diamond ila Diamond anamtumia Hamisa kupunguza ashki
Na ndio ukweli mchungu ambao Wanaomzunguka Hamisa hawamuambii wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa tu
 
Zari naye kiboko aisee huwezi kum keep mwanaume kwa mimba aisee, au alivoona htaji la mond ndo akafanya hivo
Stupidy decision ever na anajuta ila sema ndo vile tu vimemuongezea umaarufu hapa bongo ila alichokifanya ni upuuzi pia kwa mtu mzima kama yeye wala sio wa kufanya vile
 
na upeo wako wote ulionao " Juu ya maandiko ya dini " leo umeongea haya "..... MAHABA NIUE NIPONDE PONDE KAMA NYANYA ...aisee....
Hahahhahaa Mkuu Tukija Kwenye imani hasa hao watoto Wa mondy Wote ni wazinaa.

Hao watoto Wa Hamisa Wote ni Wa zinaa

Esma na Diamond alkadhalika ni watoto Wa zinaa Kwa mama yao

Sheria ya watoto Wa zinaa hawanaga urithi kwa baba yao na baba haruusiwi kurithi Mali ya mtoto Naelewa.

Lakini tukifunua upande Wa shilingi hususani Wa sheria za nchi Zari anatambulika Kama mwanamke Wa Diamond.

Kilichopaswa Diamond angemuoa Hamisa kisheria huwa wanasema Hakuna laana ya mwanamke unayezini naye imfikie mkeo WA halali hapa Hamisa angecheza. Lakini matokeo yake naye kafanywa Wa kusafisha rungu ndio maana yamemkuta
 
Umeponza kichwa haswaa. Apambane na hali yake hamna mtu mwenye akili timamu atamuonea huruma. Akikosa matunzo ya D ntamuonea huruma ila kukosa Diki ya domo akajambe mbele
Hahaaaaa halili matunzo analilia tamu ya Domo
 
Back
Top Bottom