hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Kama ulifuatilia comments zangu " hoja zangu ziko pamoja kabisa na Kile anacho kiongea mzigua ....""My lady mzigua wewe ndo unaongea point humu wengine sisi hapa tuko na sides uko sawa 100%
kama hauwezi kuachana na mpenzi wako tafadhali usipite pembeni na kumsema vibaya "" ikitokea ukarudiana nae wakati ulisha waambia watu kuhusu mabaya yake "" ......Wewe ndiye unaye onekana zuzu sasa "" kwa maana unakuwa umekubali " kufanywa mjinga "",(zuzu)
so hapo hakuna Mwenye nafuu zari 0 ..huyo hamisa naye sifuri " familia ya diamond platinum ndio kabisa walipaswa kuwa milembe "....hakuna watu mule