Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

Mama Mobetto amuombea msamaha mwanaye kwa wote wanaomtukana

zari ana nyumba zake 2 mbali na iyo anayoishi sasa
na kwa taarifa yako iyo nyumba siyo ya kinje wala dai ni ya zari na alikuwa alinunua mwenyewe na kujifanya dai kamnunulia ili kuwarusha roho wa kama kina misa na nyumba ya madale zari alitoa dola laki moja ili ifanyiwe finishing na funture alinunua yeye south ,mademu wa bongo wa kaanza kushoboka kwa dai wakijua ana hela kumbe anahongwa na jimama
Kumbe anamuhonga Diamond na mko hapa mnamsifia ana akili? Serious mwanamke mwenye akili mwenye watoto watano anatafuta hela yake kumuhonga mwanae anaemdhalilisha? Mmenichosha kujua hayo. Sasa kama anahonga hela zote hizo mbona alimdai baby daddy 100M ili aweze kuwaona watoto wake?
 
Ana nyumba 2 south africa na uganda moja zake mwenyewe na pia ni mmiliki mwenza wa college huko aouth ..ivan anavyuo 30 south icho kimoja ndo alikuwa ana share na zari umiliki na kina matawi pia ,zari alipoachana na ivan hawakugawana mali zozote zilibaki chini ya usimamizi wao wote
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyie watu nyie mnadanganywaaa[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umaarufu unawazalilisha sana huyu mabetto na zari au Dai huwaloga mi namshauri hamisa atulie ajipange na future yake she is still young asizae tena hovyo mpaka aolewe, huyo zari diamond amemrudia baada ya kuona watu wamemchukia na kiki zimepungua, yeye kutwa kuzalilisha wanawake waliomzalia ili Ku trend mitandaoni
 
Maelezo ya huko juu wala siyahitaji kibongo bongo hapa tuwe wakweli wangapi hawajatolewa bikra sekondari?!![emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3]

Kama wewe ulitolewa bikra at 14 years old, my dear do not assume majority of us did too. If truly she is 23 today, she was with Dai when she was 14 years. Majizo's child is 4 years old. She was with Majizo for 2 years. Which means she had Majizo's child when she was 19 years old and she started dating Majizo when she was 17. Issorait!!

Hivi what is the age of consent for sex in Tz? Maana the way mwanadada ana taja hii miaka atamuingiza Majizo kwenye shida, maana at 16 or 17, is that not underage?
 
Sasa wanaelewaga kwani?? Wema nae si alichambwaga na wote? Ila wakishikwa mkono kidogo wanasahau yote. Sijui ni fame au ndo mahaba au njaa zao ndo maana wanajishusha hivyo sielewi kwa kweli
Ila Zari asingerudiana na Diamond Kwa kipindi hiki ni Muda mfupi Sana toka Waachane miezi minne tu ,amejitangaza mpk BBC.
 
Zari nae alibugi bwanaa hivi ndugu yangu we hapo umekutana na mtu Leo mwezi mmoja mimba kaaah!

Akili matope!Mtoto hajatembea mimba ya pili[emoji3][emoji16][emoji23][emoji23]yaani sie wanawake bwana!
Zari naye kiboko aisee huwezi kum keep mwanaume kwa mimba aisee, au alivoona htaji la mond ndo akafanya hivo
 
Umaarufu unawazalilisha sana huyu mabetto na zari au Dai huwaloga mi namshauri hamisa atulie ajipange na future yake she is still young asizae tena hovyo mpaka aolewe, huyo zari diamond amemrudia baada ya kuona watu wamemchukia na kiki zimepungua, yeye kutwa kuzalilisha wanawake waliomzalia ili Ku trend mitandaoni
Sana yani.
 
Kama wewe ulitolewa bikra at 14 years old, my dear do not assume majority of us did too. If truly she is 23 today, she was with Dai when she was 14 years. Majizo's child is 4 years old. She was with Majizo for 2 years. Which means she had Majizo's child when she was 19 years old and she started dating Majizo when she was 17. Issorait!!

Hivi what is the age of consent for sex in Tz? Maana the way mwanadada ana taja hii miaka atamuingiza Majizo kwenye shida, maana at 16 or 17, is that not underage?
Unakua kama vile huelewi hawa wenzetu wanakuaga kurudi nyuma. Ukiangalia vizuri utagundua Hamisa ndo anampenda Diamond ila Diamond anamtumia Hamisa kupunguza ashki
 
Sasa wanaelewaga kwani?? Wema nae si alichambwaga na wote? Ila wakishikwa mkono kidogo wanasahau yote. Sijui ni fame au ndo mahaba au njaa zao ndo maana wanajishusha hivyo sielewi kwa kweli
Umaarufu unawafanya wavumilie kuzalilishwa kinachomuuma hata hamisa kwa mond ni umaarufu mbona kwa majizo hakung'ang'ania bora zari umri umeenda yeye atavumilia vitibwi tu hana nma
 
Ila Zari asingerudiana na Diamond Kwa kipindi hiki ni Muda mfupi Sana toka Waachane miezi minne tu ,amejitangaza mpk BBC.
Hata mwaka asingerudiana nae. Kipi anachokitafuta sasa? Watoto wake watano na bado anavutia angetafuta mzee wake mmoja watulie waingie uzeeni wote waleane. Anasumbuana na Diamond ambae hata afunge nae ndoa wapi bado atamcheat na kumdhalilisha kama kawaida. At her age na umaarufu wake Africa hastahili kudate mwanaume type ya Diamond.
 
Hapana sipo huko "" nadhani unajua taratibu ambazo watu huwa wanapitia mpaka kufikia hatua ya kuwa Mume na mke "" so hao unawapa sifa hiyo bado hawajaitekeleza .....labda utuambie kuwa sheria ambazo tunazijua zinazo halalisha ndoa zitakuwa zimebadilishwa au kuongezwa nyingine "".... zaidi ya zile ambazo tuna zijua...

NDOA YA KIDINI (CRISTIAN.MUSLIM .BUDHA. ETC)
NDOA YA KIMILA
NDOA YA BOMANI ".......... so sidhani kama victims walipitia taratibu moja wapo katika hizo ""....
Hiyo ni Ndoa tayari kilichobaki km wakristo ni kuibariki tu uishi na mwanamke Uzae nae watoto wawili halafu useme Sio mkeo watu watakushangaa
 
Back
Top Bottom