Mama Mongella - Aghushi na Kutafuna Mamillioni Ya Pesa!

Hata kama ndugu yako inabidi uweke brutal principles, love for country first.
 
Waliosema "innocent until proven guilty" walijua kwamba one cannot be fairly tried in the court of public opinion! Half truths half lies!! Tuvute subira na ukweli utakapobainika tutayajadili na kutoa hukumu. Is this too difficult to ask this?

This is a Western Law- tumeitumia miaka 40 ndo imetufikisha hapa! We need a different approach now- may be a Chinese Model! Kwani ni lazima tu Ya Mwengeza?

Sasa huyu mama Mongela kachukua pesa AU na Bunge la Tz- na kamwajiri ndugu yakke- sasa tunataka ushahidi gani?????

Hapa ndo nachoka na Watanzania- angahalia Mhalu ameiba 2 bil Tshs na itatumika 300 mil. katika kesi na mwisho atahonga ana antatchiwa huru!

Huu ni ujinga kama Watanzania! Tunakumbatia sheria za Mwingireza- je zimetusaidia nini?
 
Waliosema "innocent until proven guilty" walijua kwamba one cannot be fairly tried in the court of public opinion! Half truths half lies!! Tuvute subira na ukweli utakapobainika tutayajadili na kutoa hukumu. Is this too difficult to ask for?

Haya ndio mambo ya mila za kikwetu, eti mtu mzima hajambi. Na akijamba atasingiziwa mtoto yoyote aliyekaribu kuwa hana adabu.

Ditto akipiga mtu risasi, wanasema bunduki iliponyoka.
 
This is a Western Law- tumeitumia miaka 40 ndo imetufikisha hapa! We need a different approach now- may be a Chinese Model! Kwani ni lazima tu Ya Mwengeza?

Sasa huyu mama Mongela kachukua pesa AU na Bunge la Tz- na kamwajiri ndugu yakke- sasa tunataka ushahidi gani?????

Hapa ndo nachoka na Watanzania- angahalia Mhalu ameiba 2 bil Tshs na itatumika 300 mil. katika kesi na mwisho atahonga ana antatchiwa huru!

Huu ni ujinga kama Watanzania! Tunakumbatia sheria za Mwingireza- je zimetusaidia nini?

Mzee saa zingine huwa unanitisha sana

Hivi huna habari kama jela zetu zimejaa tena over capacity?
 
Jamani, vipi, mbona kimya kuhusu masuala ya jimama? Au jamani hizi habari za jimama ndio zilizotaka mtowa roho mhariri wa mwana-halisi? kwani nadhani ndio source.

Yaani mimi mpaka leo nashindwa hata kukubali au kuamini kuwa hili jimama limefanya kweli! Sasa sijui Mzee 6 atamchukulia hatua gani bunge likifunguliwa. Looh, yaani hivi hili jimama ndio lilivyo,limetuangusha wa-Tanzania wote. Hebu soma alivyosifiwa huko majuu:

The Tavis Smiley Show, November 12, 2004 · This year, Gertrude Mongela became the highest-ranking elected woman in all of Africa when she was elected to the presidency of the African Union's new Pan African Parliament...

Jamani, from the highest rank kwa elected woman katika Afrika amekuwa lowest shame kwa taifa letu.

Si unaliona lishafanya ubadhirifu huko saa hizi linasingizia limeonewa au limerogwa. Mama kama huyu inafaa aundiwe tume huru na kisha asulubiwe, lakini system itakubali? au hamuijui system ni nini?
 
Hivi hizi habari ziliishia wapi? au zilikuwa za udaku?
 
Sii udaku,

Ndo imetoka tena! Sasa kama Bunge letu washipomshtaki kwa kuchukua pesa Tz na AU je ni nani amshtaki?

Scandali kubwa kama BoT ndo zimefunika hii habari!
 
Kwa kweli ni aibu kwa taifa. Huku BoT scam, mara Richmond, sasa AU. Sijui nibadili kabila??????
 
hilo ndilo tatizo la kujuana katika maamuzi ya serikali ya JK, sasa mambo yanajionesha hadharani. mtoto wa nyoka ni nyoka![
huyu maza hafai kabisa!
 
Mwenyewe Agoma Kuzungumza!

Rais wa Bunge la Afrika, Mama Getrude Mongella, anatuhumiwa kutenda makosa ya kukosa uaminifu, Wizi na utoaji ajira kinyume na taratibu za kazi yake:-

1. WIZI:- anatuhumiwa kutafuna Dola za US, 138,000 ambazo ni sawa na shillingi 180Millioni za Tanzania.

2. UAJIRI:- anatuhumiwa kuajiri ndugu zake kinyume na sheria za kazi yake, akiwemo mkwe wake, yaani mke wa mtoto wake.

Katika kikao cha AU kilichopita nchini Ghana, nchi za Afrika zilimuamuru mama huyo kurudisha hela hizo mara moja huku uchunguzi ukiwa unaendelea, kikao hicho pia kilihudhuriwa na Rais Kikwete.

Mama Mongella, anatuhumiwa kujilipa US/Dola 800, kwa siku akilifanyia kazi bunge hilo la Afrika, na huku akiwalipa US/Dola 400 kwa siku ndugu zake aliowaajiri huko AU, wakati pia akilipwa na bunge la Tanzania kwa kazi hiyo hiyo. Mkwe wake mama huyu tayari ameshaachishwa kazi na bunge hilo na wengine wako njiani kurudishwa tayari Tanzania.

Katibu wa Bunge la Tanzania, ndugu Foka, alithibitisha kupata habari hizo za tuhuma dhidi ya Mama Mongella, na amekiri kwamba ni kweli Bunge letu la Tanzania limekuwa likimlipa mama huyo fedha zote anazostahili akiwa analifanyia kazi bunge la Afrika, kwa mujibu wa makubaliano na bunge hilo la Afrika, ambalo liliwaomba mwanzoni wakati anaanza kuwa liwe linamlipa ili asilipwe na bunge hilo la AU.

Taarifa za uchunguzi tayari zimefanyika na SADC, ikishirikiana na kampuni ya KP GM ya Kenya, ambazo izmeshauri mama huyo kufukuzwa kazi na kurudisha mapesa hayo kwa AU, mara moja. Mbunge mmoja wa bunge hilo la AU, Ndugu Wanyancha,(Serengeti-CCM) amekubali kuwa kweli Mama anakabiliwa nashutuma nzito sana ambazo zitatukosesha urais huo kwa muda mrefu sana ujao, juhudi zote za kuzungumza naye kuhusu hiii sualazimakwama kutokana na kukataa kwake, mama huyo.
 
. Mwenyewe Agoma Kuzungumza!

FM ES hebu tuulizane humu ndani. Je hii taarifa ilikuwa na ukweli kiasi gani au ni uzushi?? Huyo mama hadi leo sijasikia kama amefukuzwa kazi au kesi ya namna hiyo dhidi yake. Au pengine niko outdated. Kama kuna mwenye taarifa updated kuhusiana na ukweli au uongo wa taarifa hii tafadhali anisaidie.

Tusije tukawa tunachafua majina ya viongozi wengine innocent bila sababu yoyote.

Au kama kuna mtu analitaka jimbo lake aseme. Au isikute ni yale yale makundi ya mafisadiz wanataka kumaliza strong ssm MPs?? Au kutaka kuwachafua ili nao waonekane wachafu kama walivyo SSM MP na Mins mafisadiz.
 
. Mwenyewe Agoma Kuzungumza!

Rais wa Bunge la Afrika, Mama Getrude Mongella, anatuhumiwa kutenda makosa ya kukosa uaminifu, Wizi na utoaji ajira kinyume na taratibu za kazi yake:-

1. WIZI:- anatuhumiwa kutafuna Dola za US, 138,000 ambazo ni sawa na shillingi 180Millioni za Tanzania.

2. UAJIRI:- anatuhumiwa kuajiri ndugu zake kinyume na sheria za kazi yake, akiwemo mkwe wake, yaani mke wa mtoto wake.

Katika kikao cha AU kilichopita nchini Ghana, nchi za Afrika zilimuamuru mama huyo kurudisha hela hizo mara moja huku uchunguzi ukiwa unaendelea, kikao hicho pia kilihudhuriwa na Rais Kikwete.

Mama Mongella, anatuhumiwa kujilipa US/Dola 800, kwa siku akilifanyia kazi bunge hilo la Afrika, na huku akiwalipa US/Dola 400 kwa siku ndugu zake aliowaajiri huko AU, wakati pia akilipwa na bunge la Tanzania kwa kazi hiyo hiyo. Mkwe wake mama huyu tayari ameshaachishwa kazi na bunge hilo na wengine wako njiani kurudishwa tayari Tanzania.

Katibu wa Bunge la Tanzania, ndugu Foka, alithibitisha kupata habari hizo za tuhuma dhidi ya Mama Mongella, na amekiri kwamba ni kweli Bunge letu la Tanzania limekuwa likimlipa mama huyo fedha zote anazostahili akiwa analifanyia kazi bunge la Afrika, kwa mujibu wa makubaliano na bunge hilo la Afrika, ambalo liliwaomba mwanzoni wakati anaanza kuwa liwe linamlipa ili asilipwe na bunge hilo la AU.

Taarifa za uchunguzi tayari zimefanyika na SADC, ikishirikiana na kampuni ya KP GM ya Kenya, ambazo izmeshauri mama huyo kufukuzwa kazi na kurudisha mapesa hayo kwa AU, mara moja. Mbunge mmoja wa bunge hilo la AU, Ndugu Wanyancha,(Serengeti-CCM) amekubali kuwa kweli Mama anakabiliwa nashutuma nzito sana ambazo zitatukosesha urais huo kwa muda mrefu sana ujao, juhudi zote za kuzungumza naye kuhusu hiii sualazimakwama kutokana na kukataa kwake, mama huyo.

Source: Mwana-Halisi.

Another fisadi product. Ukipanda ndimu utavuna ndimu!
 
yani hili li chama la kijani ndo linatuletea mizao kama hii!!
Kwanini tusiamke wananchi tukalifutilia mbali hili lichama la kijani?
Lichama hili limeisha tuingiza katika matatizo mengi yanayorudisha nyuma maendeleo yetu kuanzia awamu ile ya pili hadi hii ya nne.

Yani wamekua wezi kupita kiasi,sasa hebu onana mwanachama huyu huyu mtukuka wa lichama hili alivyoifedhehesha taifa letu. Ningependa tujue kuwa kuendelea kuwepo kwa chama hiki cha jembe na nyundo katika madaraka ya taifa hili ni umasikini pia wa taifa letu.

CCM ni dalili mojawapo ya kuendelea kua maskini kwa taifa hili maana yenyewe ni chanzo cha ufukara tulio nao leo aibu immeze mbali mwana mama huyu, Khaaa mtaridhika lini hivi mtuachie nchi na bara letu?
 
Lakini.... hii ishu ilimalizika vipi?? ni kweli au ni uzushi tu?
Mbona bado anapeta kama kawaida na hakuna kinachoendelea? wenye updates waweke humu ili tujue ukweli tafadhali.
 
Back
Top Bottom