Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh, hii shida, Msekwa najua atacheka hadi fizi ya mwisho! Tulishasema correlation kati ya u-CCM na ufisadi is so strong and positive. Halafu inaonekana wale wanaCCM wa wakati wa Nyerere ufisadi wao haukujionyesha kwa kuwa hawakupata nafasi tu, ukiwapa nafasi kidogo wana-prove kwamba ni mafisadi wa kutupa. Si ajabu hata Kingunge naye ndio hivyo tena.
Safari yetu ya kupambana na ufisadi ni futile so long as tunaendelea kuikumbatia CCM!
1. Mama Mongela katuangusha Watanzania- umdhanie siye ndiye! Basi yuko TGNP anaonekana kweli kutetea haki za wanawake- kumbe sii mwadlifu hata kidogo! Ana tamaa mno! Hii ni tamaa ya fisi!
2. Akina mama Watz wengine (Asha- Rose, Tibaijuka, n.k) tunawasihi msikate tamaa kwa hili- songeni mbele kazi kwa bidii ila uadilifu mbele!
Mama Mongella mambo ya undugunaizesheni anayo sana, alishawahi kumchomeka mdogo wake ubalozi wetu wa UN New York ambako mpaka sasa anafanya kazi.By the way kuna mtoto wa Malecela pia yupo pale kwa hiyo haya mambo inaonekana ni kitabia fulani ambacho kipo katika uongozi wetu. Relate to watoto wa wakubwa Benki kuu,Makamba Ikulu etc inaonekana tunajenga vi-class fulani vya elites wanaokuwa "Watanzania zaidi" kuliko wengine.Dangerous indeed.
Mhhhh!
Sasa jamani naomba kama kuna mjumbe anaweza kutuorodhoshea majina ya watu ndani ya CCM ambao ni wasafi na hawana madoa.
Huko Afrika Kusini kuna kajimtu mithili ya kibwengu ambae anaitwa Tokoloshe. Ana sura pia ifananayo na shetani na cha ajabu zaidi ni kwamba Tokoloshe ana tako moja tu!
Tokoloshe hupenda kuwavizia "victims" wake wakati wa usiku kwa madhumuni ya kuwaadhibu kwa viboko au hata kukujeruhi pale ambapo inabainika (kwa Tokoloshe) kwamba dhuluma ya watu fulani dhidi ya jamii, imezidi kipimo. Lakini pia tokoloshe anaweza kuwatumia watu kufanza mambo mengi mabaya likiwemo jambo la dhuluma na wizi.
Hivi juzijuzi tu kiongozi mpya wa ANC bwana Jacob Zuma alitania aliposema kwamba atahakikisha anajenga kuta ndevu na kunyanyua urefu wa kitanda nyumbani pake ili kuzuia ujio wa Tokoloshe.
Ni kiumbe kinachoogopewa sana na inafaa sana kama sasa nchi zetu za Afrika zitatawaliwa na Tokoloshe, maana naona watu wataogopa ujio wake na watatia adabu.
Hii ni kwa sababu hakuna wa kumwamini kumpa majukumu ya kuongoza nchi.
Onyo
Mtu anaejijua kwamba ni mwivi na amekwiba na kudhulumu mali ya umma mpaka akasaza, asijisumbue kwa kufuata wazo la bwana Jacob Zuma kwani Tokoloshe sasa ana watoto wengi tu ambo ni warefu na ni moto wa kuotea mbali.
Mama Mongella mambo ya undugunaizesheni anayo sana, alishawahi kumchomeka mdogo wake ubalozi wetu wa UN New York ambako mpaka sasa anafanya kazi.By the way kuna mtoto wa Malecela pia yupo pale kwa hiyo haya mambo inaonekana ni kitabia fulani ambacho kipo katika uongozi wetu. Relate to watoto wa wakubwa Benki kuu,Makamba Ikulu etc inaonekana tunajenga vi-class fulani vya elites wanaokuwa "Watanzania zaidi" kuliko wengine.Dangerous indeed.
i guess Dr ALI MOHAMMED SHEIN vice president yeye na mkewe mama mwema shein.
Mhhhh!
Tokoloshe hupenda kuwavizia "victims" wake wakati wa usiku kwa madhumuni ya kuwaadhibu kwa viboko au hata kukujeruhi pale ambapo inabainika (kwa Tokoloshe) kwamba dhuluma ya watu fulani dhidi ya jamii, imezidi kipimo.
Hivi huyu Tokoloshe ndiye huyo kwenye picha yako?
Huyu naye hajapata nafasi tu ya kufisadi, ufisadi na CCM wameoana!