Kama mtakumbuka wakati uleee kabla ya uchaguzi kuna mtu aliomba watu wapendekeze majina ya watu wanaofaa kuwa rais wa Tanzania.. kuna baadhi walimtaja huyu mama nikasema HAFAI - tena kwa mshangao nikauliza kitu gani mnakiona toka kwake.
Huyu mama mtu wa home, tunamjua vizuri tabia zake na nadhani imefikia wakati mnapotaka kumchagua mtu katika nafasi kama hizi jaribuni kwanza kuomba CV yake ya kiswahili, kabla ya hiyo ya kizungu.
Maendeleo ya mwafirka, yatatokana na kuondoa viongozi kama hawa. Maneno mengi na huruma nyingi usoni pa watu lakini ndani kunawaka moto na imani za uchawi, unafiki, Ukoloni (ubwana), roho mbaya na Ubinafsi. Hili la wizi tena ndio limeongezea tamu ya CV yake ya kiswahili.
Mzee Msekwa pia inadaiwaa alikuwa na tabia hiyo kwa miaka mingi sana hakuyajua hayo hadi alipodondoka Uspika, Leo hii mtu safi. Cheo ni dhamana ulopewa na wananchi sio haki yako including familia yako. Ikiwa international boby zinapoiga marufuku kiongozi kuajiri ndugu ama jamaa zake inakuwaje hili ni jambo la kawaida ktk tawala za Kiafrika?
Jaribuni kupitia Taasisi zote nchini utaona kuwa viongozi wote wameweza kuzitumia nafasi zao kutoa ajira kwa ndugu zao.. Waafrika kwa ujumla hupata elimu ya juuu ili tupate kuwasaidia ndugu ama familia, yaani elimu yako inakuwa tegemeo la familia kuondokana na Umaskini.
Hilo swala la elimu kutupa nchi maendeleo ni imani ya wazungu na utaikuta ktk kamusi na vitabu vyenu nyie wasomi lakini reality ni kuwa elimu kwa mwafrika ni nyenzo itakayokuwezesha kushika nafasi ya KULA hivyo kuikomboa familia yako kiuchumi.