Mama mtoto wa sugu avaa pampers kwenye birthday


Wacha kujipendekeza we nyodo la kizaramo. Watu wanajadili kwa lugha ya taifa unatuletea Nyodo zako za wakoloni hapa.
Ndio nyie mnaochambia makaratasi mpaka leo kwa kuutukuza uzungu.
Tumbaff wahed
 
Kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu, mbaya zaidi kwa yule uliyempenda wewe unakonda yeye ananenepa
 
Tabia anazoonesha huyu mwanamke ni jinsi pia sugu anavyotafsilika kwamba ni mtu wa aina gani SUGU tutakufundisha uchaguzi ujao USIHOFU

we nawe mwehu tu, hujui kama sugu alimuacha huyo? tafuta mahojiano ya huyo kituko mwenzio ndo utajua nini kinaendelea kati yake na sugu, pili hakuna wa kumfundisha sugu
 
Kuachwa kuachwa, kuachwa ni shughuli pevu, mbaya zaidi kwa yule uliyempenda wewe unakonda yeye ananenepa
Da amekua kituko mama mzima aoni aibu Je mtoto akiziona naisi Ana wa kumpa ushauri.Hapo amebugi
 
Ww ni karats nyeupe huwz kbs kwa raic wa Mbeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…