Mama mtoto wa sugu avaa pampers kwenye birthday

Mama mtoto wa sugu avaa pampers kwenye birthday

Leo umenichekesha sana shosti

cheka tu shoo me kanichoshaje, si kaamua kuleta za u lady gaga, aoneshe uhalisia kwa kuvaa alichovalishwa alipozaliwa, nimemuonea Mheshimiwa huruma kwa hii fedheha, eti ndio alikuwa analilia kuolewa ptyuuuuuuu!!!!
 
Kuwa mwehu au kichaa sio lazima uokote makopo jalalani
 
Angejititia kabisa kuonesha hatanii
 
Sijui watu wengine wanafikiriaga nini...kwa kweli sielewi...
 
Lakini maisha ni kujichagulia uishi vipi. Msiwe na double standards. Gold platnumz akitembea na 39yrs tukisema tunaambiwa tunampangia maisha, faiza akivaa pampers kwa bday yake anaonekana ndivyo sivo. Basi na faiza ameamua kuishi atakavyo km ilivyo goldplatnumz

There is nothing wrong with she is just a Woman like me And You And has Been through a Lot she can whoever she Wants You cant compare her with this kitukoooo
 
Ten things you did not know about Zari Hassan. - Bigeye.ug


1.Zari was born in 1980,23rd of September.That makes her 34....Prove her wrong with vivid facts..
Biography - the home of Zari
......
4.
4. She lives with her three lovely sons Pinto, Didy and Quincy. She is an entrepreneur in South Africa where she owns a tertiary college and cosmetics shop in Pretoria. - See more at: http://bigeye.ug/ten-things-know-zari-hassan/#sthash.BY1kCiPL.dpuf


she is a proud mother of 3...and unafraid to show that
11338_513252468717342_1076049793_n.jpg

.


Ahsante kwa kumuelewesha huyo dada naona atakuwa na kijiba chake Cha roho kwa mlundikiaa mwenzio miaka anyways hamuweziii yule ni matawiiii sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom