Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Leo umenichekesha sana shosti
cheka tu shoo me kanichoshaje, si kaamua kuleta za u lady gaga, aoneshe uhalisia kwa kuvaa alichovalishwa alipozaliwa, nimemuonea Mheshimiwa huruma kwa hii fedheha, eti ndio alikuwa analilia kuolewa ptyuuuuuuu!!!!