Hiyo methali ina maana gani[emoji23][emoji23][emoji23]Yawezekana ni linene kupindukia ndio maana likakosa wa kulikuna huko TRA sasa dogo anaona ni bahati ya mtende.Ganda la mua la jana chungu kaona mavuno
Toto dogo kabisa tena ndio utam wake upo juu kabisa anaitwa jimama. Angejua kuwa sie wahenga tunaenjoy vitu kuanzia 30 kuja hadi 45 huko asingemuita binti jimama.34 ni jimama? Sijapenda
Yaani kanisikitisha sana , ina maana mimi ni bibi? Ashindwe na alegeeToto dogo kabisa tena ndio utam wake upo juu kabisa anaitwa jimama. Angejua kuwa sie wahenga tunaenjoy vitu kuanzia 30 kuja hadi 45 huko asingemuita binti jimama.
Nakuham mhenga mwenzangu!!
Ni mkakati wa kuwinda. Kwa hali ya nchi yetu wanaume bado hatujazoea kupewa lifti.T.R.A na daladala, jimama lako limechelewa sana,au aliacha gari garage?
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Amesahau X mwanzoT.R.A au Kuna herufi kasahau hapo mwishoni
Una ubibi gani nawe, hujui huo ndio umri wa kuyafurahia maisha. Hawa madogo watengwe tubaki melejendari kivyetu.Yaani kanisikitisha sana , ina maana mimi ni bibi? Ashindwe na alegee
Sawa sawa muhenga.Una ubibi gani nawe, hujui huo ndio umri wa kuyafurahia maisha. Hawa madogo watengwe tubaki melejendari kivyetu.
TRA na Daladala wapi na wapi! Dogo punguza fix hum kuna wakubwa zako!!Wakuuu kuna jimama nimekutana nalo juzi kwenye daladala tulikuwa tumekaa siti moja ni jeupe yani pisi Kali sana Mimi uwa na tabia ya kupendeza kula pamba na kunukia viZuri ndio tabia yangu so jimama limepagawa likaniomba namba Mimi nikampa lilisema tuwe marafiki
Stoka jana linanisumbua limeniambia linanipenda linafanya kazi TRA sasa linaniambia niwe nae kimapenzi njtaenjoy hapa ninapoandika limenitumia hela shs elfu 50 limeniambia nitumie tu wikiendi hii ila limesema j3 nikutane nae,
Wakuu nifanyaje?
Hivi miaka 34 ni jimama?Kumbe mimi babu sana.ππππWakuuu kuna jimama nimekutana nalo juzi kwenye daladala tulikuwa tumekaa siti moja ni jeupe yani pisi Kali sana Mimi uwa na tabia ya kupendeza kula pamba na kunukia viZuri ndio tabia yangu so jimama limepagawa likaniomba namba Mimi nikampa lilisema tuwe marafiki
Stoka jana linanisumbua limeniambia linanipenda linafanya kazi TRA sasa linaniambia niwe nae kimapenzi njtaenjoy hapa ninapoandika limenitumia hela shs elfu 50 limeniambia nitumie tu wikiendi hii ila limesema j3 nikutane nae,
Wakuu nifanyaje?
Hata yakiachaga gari garage yanakula uba au pin kitonga yanasepa zake!!T.R.A na daladala, jimama lako limechelewa sana,au aliacha gari garage?
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Limama limejitambulisha kama Teacher,dogo kwa mchecheto akasikia kama neno TRA kumbe Teacher!![emoji1][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]T.R.A au Kuna herufi kasahau hapo mwishoni
Umekuja kushtaki kwa sisi kaka zako siyo.Wakuuu kuna jimama nimekutana nalo juzi kwenye daladala tulikuwa tumekaa siti moja ni jeupe yani pisi Kali sana Mimi uwa na tabia ya kupendeza kula pamba na kunukia viZuri ndio tabia yangu so jimama limepagawa likaniomba namba Mimi nikampa lilisema tuwe marafiki
Stoka jana linanisumbua limeniambia linanipenda linafanya kazi TRA sasa linaniambia niwe nae kimapenzi njtaenjoy hapa ninapoandika limenitumia hela shs elfu 50 limeniambia nitumie tu wikiendi hii ila limesema j3 nikutane nae,
Wakuu nifanyaje?
labda unene wake.Nimeshanga! Huyu si binti kabisa.
πππππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dyadyaa, huyu kijana ana umri gan?? 16?