Mama mtu mzima ananitaka kimapenzi, ana miaka 34+

Wakuuu kuna jimama nimekutana nalo juzi kwenye daladala tulikuwa tumekaa siti moja ni jeupe yani pisi Kali sana Mimi uwa na tabia ya kupendeza kula pamba na kunukia viZuri ndio tabia yangu so jimama limepagawa likaniomba namba Mimi nikampa lilisema tuwe marafiki

Stoka jana linanisumbua limeniambia linanipenda linafanya kazi TRA sasa linaniambia niwe nae kimapenzi njtaenjoy hapa ninapoandika limenitumia hela shs elfu 50 limeniambia nitumie tu wikiendi hii ila limesema j3 nikutane nae,
Wakuu nifanyaje?
TRA na Daladala wapi na wapi! Dogo punguza fix hum kuna wakubwa zako!!
 
Wakuuu kuna jimama nimekutana nalo juzi kwenye daladala tulikuwa tumekaa siti moja ni jeupe yani pisi Kali sana Mimi uwa na tabia ya kupendeza kula pamba na kunukia viZuri ndio tabia yangu so jimama limepagawa likaniomba namba Mimi nikampa lilisema tuwe marafiki

Stoka jana linanisumbua limeniambia linanipenda linafanya kazi TRA sasa linaniambia niwe nae kimapenzi njtaenjoy hapa ninapoandika limenitumia hela shs elfu 50 limeniambia nitumie tu wikiendi hii ila limesema j3 nikutane nae,
Wakuu nifanyaje?
Hivi miaka 34 ni jimama?Kumbe mimi babu sana.😂😂😂😂
 
Kumbe majimama sikuhizi yanaanzia kiaka 34+ na hamsemi? Muwe mna tu update mapema sijapenda
 
Wakuuu kuna jimama nimekutana nalo juzi kwenye daladala tulikuwa tumekaa siti moja ni jeupe yani pisi Kali sana Mimi uwa na tabia ya kupendeza kula pamba na kunukia viZuri ndio tabia yangu so jimama limepagawa likaniomba namba Mimi nikampa lilisema tuwe marafiki

Stoka jana linanisumbua limeniambia linanipenda linafanya kazi TRA sasa linaniambia niwe nae kimapenzi njtaenjoy hapa ninapoandika limenitumia hela shs elfu 50 limeniambia nitumie tu wikiendi hii ila limesema j3 nikutane nae,
Wakuu nifanyaje?
Umekuja kushtaki kwa sisi kaka zako siyo.

Dogo hilo jimama ni hatari na si bure anataka wa kumsindikiza na kaukimwi kake.

Leta namba yake inbobo nilikanye asije akakupoteza chalii wetu
 
Back
Top Bottom