Mama mtu mzima ananitaka kimapenzi, ana miaka 34+

Mama mtu mzima ananitaka kimapenzi, ana miaka 34+

Sio shida Mkuu... Nendeni mkapime pia akuhakikishie kama hana mume.... Kama utakua tayali anza nae mahusiano maan mapenzi hayachagui umri, wala Nini..... Bahati yako inaweza angukia kwa mtu alotaka kuingia serious kweny mahusiano na ww kwa hyo usiichezee bahati
Pamojaa sanaa
 
Wakuuu kuna jimama nimekutana nalo juzi kwenye daladala tulikuwa tumekaa siti moja ni jeupe yani pisi Kali sana Mimi uwa na tabia ya kupendeza kula pamba na kunukia viZuri ndio tabia yangu so jimama limepagawa likaniomba namba Mimi nikampa lilisema tuwe marafiki sasa toka jana linanisumbua limeniambia linanipenda linafanya kazi TRA sasa linaniambia niwe nae kimapenzi njtaenjoy hapa ninapoandika limenitumia hela shs elfu 50 limeniambia nitumie tu wikiendi hii ila limesema j3 nikutane nae,
Wakuu nifanyaje?
Muongo wee kirahis tu unakutana na afsa tra kweny daladla acha hzo
 
Wakuuu kuna jimama nimekutana nalo juzi kwenye daladala tulikuwa tumekaa siti moja ni jeupe yani pisi Kali sana Mimi uwa na tabia ya kupendeza kula pamba na kunukia viZuri ndio tabia yangu so jimama limepagawa likaniomba namba Mimi nikampa lilisema tuwe marafiki

Stoka jana linanisumbua limeniambia linanipenda linafanya kazi TRA sasa linaniambia niwe nae kimapenzi njtaenjoy hapa ninapoandika limenitumia hela shs elfu 50 limeniambia nitumie tu wikiendi hii ila limesema j3 nikutane nae,
Wakuu nifanyaje?
Kama mwenye avatar ndiyo wewe. Lakini basi endelea tu
 
Wakuuu kuna jimama nimekutana nalo juzi kwenye daladala tulikuwa tumekaa siti moja ni jeupe yani pisi Kali sana Mimi uwa na tabia ya kupendeza kula pamba na kunukia viZuri ndio tabia yangu so jimama limepagawa likaniomba namba Mimi nikampa lilisema tuwe marafiki

Stoka jana linanisumbua limeniambia linanipenda linafanya kazi TRA sasa linaniambia niwe nae kimapenzi njtaenjoy hapa ninapoandika limenitumia hela shs elfu 50 limeniambia nitumie tu wikiendi hii ila limesema j3 nikutane nae,
Wakuu nifanyaje?

Kamseleleko
 
Unaweza kuta hilo jimama ni mama,shangazi,mama mdogo au hata ndugu wa member wa hapa jamiiforum na yeye kwa bila kujua kachangia umugegede/uligegede hilo jimama[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom