Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Eti wanawake wanapendaga hela..... mxyuuuuu
Pamojaa sanaaSio shida Mkuu... Nendeni mkapime pia akuhakikishie kama hana mume.... Kama utakua tayali anza nae mahusiano maan mapenzi hayachagui umri, wala Nini..... Bahati yako inaweza angukia kwa mtu alotaka kuingia serious kweny mahusiano na ww kwa hyo usiichezee bahati
Muongo wee kirahis tu unakutana na afsa tra kweny daladla acha hzoWakuuu kuna jimama nimekutana nalo juzi kwenye daladala tulikuwa tumekaa siti moja ni jeupe yani pisi Kali sana Mimi uwa na tabia ya kupendeza kula pamba na kunukia viZuri ndio tabia yangu so jimama limepagawa likaniomba namba Mimi nikampa lilisema tuwe marafiki sasa toka jana linanisumbua limeniambia linanipenda linafanya kazi TRA sasa linaniambia niwe nae kimapenzi njtaenjoy hapa ninapoandika limenitumia hela shs elfu 50 limeniambia nitumie tu wikiendi hii ila limesema j3 nikutane nae,
Wakuu nifanyaje?
Muache mwenzioUnaweza kuta hilo jimama ni mama,shangazi,mama mdogo au hata ndugu wa member wa hapa jamiiforum na yeye kwa bila kujua kachangia umugegede/uligegede hilo jimama[emoji3]
Unaweza kuta hilo jimama ni mama,shangazi,mama mdogo au hata ndugu wa member wa hapa jamiiforum na yeye kwa bila kujua kachangia umugegede/uligegede hilo jimama[emoji3]
Amekuwa mwenzangu tena?[emoji3]Muache mwenzio
Changia/shauri chochote mkuu ligegedwe hilo lijimama[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama mwenye avatar ndiyo wewe. Lakini basi endelea tuWakuuu kuna jimama nimekutana nalo juzi kwenye daladala tulikuwa tumekaa siti moja ni jeupe yani pisi Kali sana Mimi uwa na tabia ya kupendeza kula pamba na kunukia viZuri ndio tabia yangu so jimama limepagawa likaniomba namba Mimi nikampa lilisema tuwe marafiki
Stoka jana linanisumbua limeniambia linanipenda linafanya kazi TRA sasa linaniambia niwe nae kimapenzi njtaenjoy hapa ninapoandika limenitumia hela shs elfu 50 limeniambia nitumie tu wikiendi hii ila limesema j3 nikutane nae,
Wakuu nifanyaje?
Wakuuu kuna jimama nimekutana nalo juzi kwenye daladala tulikuwa tumekaa siti moja ni jeupe yani pisi Kali sana Mimi uwa na tabia ya kupendeza kula pamba na kunukia viZuri ndio tabia yangu so jimama limepagawa likaniomba namba Mimi nikampa lilisema tuwe marafiki
Stoka jana linanisumbua limeniambia linanipenda linafanya kazi TRA sasa linaniambia niwe nae kimapenzi njtaenjoy hapa ninapoandika limenitumia hela shs elfu 50 limeniambia nitumie tu wikiendi hii ila limesema j3 nikutane nae,
Wakuu nifanyaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaweza kuta hilo jimama ni mama,shangazi,mama mdogo au hata ndugu wa member wa hapa jamiiforum na yeye kwa bila kujua kachangia umugegede/uligegede hilo jimama[emoji3]