mama Mungu na akunyime akili kama hii..............lol!

mama Mungu na akunyime akili kama hii..............lol!

Aisee....dah bibie gfsonwin ili kuepukana na haya makizaa zaa shurti ujifungue matoto ya kike tu. Matoto ya kiume bana huwa yanaleta presha kwa wazazi, hasa wa jinsia ya kiumeni.
 
Last edited by a moderator:
huyu mjeda anawatoto 4 mkubwa ambaye ni binti yy anasoma hapa bongo kwenye vyuo vyetu vya kawaida.

siyo watoto wote wawili bali anayemtuhumu ni huyu wa kiume ambaye ndiye kaka mkubwa ingawa

alipokwenda kusoma alikaa miezi 6 short course za kijeda,

baba kwa maelezo ya familia ni kwamba kuna wakati aliwah kuwa na mahusiano ya nje ya ndoa na binti fulan na hii ilileta mtafaruku sana kwan mkewe na mwanae wa kiume walikwenda kumfanyia fujo huyu binti hadi watu kujeruhiwa.

ingekuwa huyu baba ameandika chochote kwa jina la nyumba ndogo definately huyu mama asingeweza kuuza manke kisingekuwa mali yake. hivi vyote vilikuwa vimesajiliwa kwa jina la baba mwenye familia. ni hayo tu kiongozi

Ok, ahsante kwa majibu mazuri..............
Ninaamini kuna kila sababu ya mama na mtoto kutafuta namna nzuri ya kumaliza hili jambo, ninavyofahamu mimi ni kwamba laana sio lazima itolewe kauli, kitendo mtu anachomfanyia mzazi wake na kikamsononesha, hata bila mzazi kutoa kauli, lakini mhusika ni lazima ata-face consequences.......
MILA- Sisi Waafrika tunazo mila na desturi zetu, na pia tunao wazee wa kimila ambao kama mama mkosaji na mwanae watawatumia vizuri, naamini wanaweza kulimaliza hili jambo kwa amani na kurudisha amani hapo nyumbani.
Kukaa na kutupiana lawama kwa jambo ambalo limeshafanyika hiyo haisaidii kwani kinachotakiwa ni kutafuta namna nzuri ya kulimaliza jambo hili kwa busara.
Mimi naamini kabisa kama watawashirikisha wazee wa nyumbani kwa mume wanaweza kulimaliza jambo hili na kurejesha amani hapo nyumbani.
 
Mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe!
 
Nini maana ya Mjeda? Na je huyo ni mtoto wa kibaiolojia wa huyo baba? Kuna jambo limejificha hapo!!!!!.
 
Hiyo nyumba ilikuwa na jina la nani? Mke anawezaje kuuza nyumba ya familia bila 'consent' ya mume? Mauzo hayo ni batili. Labda kama kuna maelezo hujayatoa.
 
Hakuangalia hata muendelezo wa hiyo Elimu Utakuwaje, Kama mwaka wa kwanza ni kwa kuuza nyumba , Mingine Je???????????????????????
 
mke mpumbavu huiboa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.

kama hiyo nyumba ilijengwa juu ya mchanga ataibomoa so asilaumiwe mama peke yake am sure hakukuwa na communication wala upendo kati ya huyo mama na mme wake! kama baba ana play role yake vizuri na kuipenda na kuijali familia yake hayta mama afanyaje watoto hawamuunga kwa kuwa wanaona baba yao hana makosa! jaribuni kuishi kwa akili na kuwaelewa wanawake ni viumbe very complicated na mtaishia kuwalaumu bila kujua source nini! vijana wanahitaji zaidi kufundwa kuliko wasichana ili kunusuru ndoa za siku hizi!
 
sasa Mtambuzi kama wewe umeletewa shauri hili ili uwashauri wewe ungemwambia huyo mama afanye nini na huyu baba je? ok najua mama na mtoto wamekosea lkn je baba kafanya sahihi kumlaani mwanae?

mzee kacheza fair game, kwa maneno machafu huyo dogo alomtolewa kwa wengine kwa sababu ya hasira tungelikuwa tunazungumzia matiba ya mazishi na rambi rambi!
haki ya nani ding angu hata kama amezeeka vip kwa hizo kauli akikushindwa atakuvizia usiku akuchinje!
 
Katika hali kama hii, mtu akiamua kutafuta nyumba ndogo ili apumzishe akili, jamii inamlaum.
huyo baba anatakiwa apate msaada wa nyumba ndogo fasta hapo akicheza hata
kumtoa roho wanaweza mtoa0kwaakili ya0huyo mke wake sio ajabu


0
 
Mm ht sielewi..mwanzo umesema watoto ni wakubwa na ni college students...then mkubwa ndo analipiwa ili akasome nje mwaka wa kwanza.( Sijakusoma). Inamaana anaacha kusoma alipokuwa anasoma ili akasome nje au?
 
Hapa naona kama maji yameshamwagika, na hayazoleki.
Lakin inaonekana mtoto alikosa malezi ya baba yake muda mrefu sana. Si rahisi kwa mtoto aliyelelewa na baba na mama kupata ujasiri wa kumwambia baba ake eti "na wewe una madem nje na unaweza kutembea na demu wangu nikimleta home"
Naona pia mama nae alitaka ile status ya "Mwanangu yupo Ulaya anasoma digrii" kwa mashoga zake. Kanyimwa elimu dunia na elimu maisha. So sad!!!
 
Hii ni fungua macho kwa wenye ndoa wanaodhani watoto wote ni wao, hapa huenda mama alimbambika mumewe huyu mtoto, thambi ya mama at work.
 
Back
Top Bottom