Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu mjeda anawatoto 4 mkubwa ambaye ni binti yy anasoma hapa bongo kwenye vyuo vyetu vya kawaida.
siyo watoto wote wawili bali anayemtuhumu ni huyu wa kiume ambaye ndiye kaka mkubwa ingawa
alipokwenda kusoma alikaa miezi 6 short course za kijeda,
baba kwa maelezo ya familia ni kwamba kuna wakati aliwah kuwa na mahusiano ya nje ya ndoa na binti fulan na hii ilileta mtafaruku sana kwan mkewe na mwanae wa kiume walikwenda kumfanyia fujo huyu binti hadi watu kujeruhiwa.
ingekuwa huyu baba ameandika chochote kwa jina la nyumba ndogo definately huyu mama asingeweza kuuza manke kisingekuwa mali yake. hivi vyote vilikuwa vimesajiliwa kwa jina la baba mwenye familia. ni hayo tu kiongozi
mke mpumbavu huiboa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
sasa Mtambuzi kama wewe umeletewa shauri hili ili uwashauri wewe ungemwambia huyo mama afanye nini na huyu baba je? ok najua mama na mtoto wamekosea lkn je baba kafanya sahihi kumlaani mwanae?
huyo baba anatakiwa apate msaada wa nyumba ndogo fasta hapo akicheza hataKatika hali kama hii, mtu akiamua kutafuta nyumba ndogo ili apumzishe akili, jamii inamlaum.