Mama mwenye hali ngumu anakaa na binti mdogo mjamzito ambaye sio ndugu yake

Mimi kiasili na kabila ni mix ya somewhere, ila nimeishi sana maeneo ya baharini, jamaa wa pwani wengi si watu wa kukunja, life Kwao it's very simple kwenye kuishi, wako open sana na wanajua kuishi kiushkaji na kubalance mambo, kipindi hicho mabroo wanaenda sana abroad na wanatoboa lakini hawakunji roho, kipindi ni kijana mdogo niliona watu wote TZ wako hivyo, nilivyoanza kutembea ndiyo nikajua kumbe Kuna sehemu watu wana roho nyeusi hata kidogo unachokipambania pia anakitaka, anhaa hapo nikaelewa kwamba wapo watu si wa kwenda nao kirafiki, you have to be tough in decisions, lazima uwe kama communist Mao au Stalin sometimes.
 
Mkuu, una maanisha watu wa Pwani walikuonesha roho mbaya?? Mimi siku zote huwa ninaamini ya kuwa, hakuna kabila lolote lile linalokosa idadi ndogo ya watu wa hovyo au wenye roho mbaya.

Kwa hiyo hata watu wa Pwani (wazaramo/wakwele) wapo wachache wenye roho mbaya, ingawa wengi wao wana roho zilizojaa upendo mkubwa mnoo..
 
Hapana, soma vizuri.
 
M
Upo sahihi kama ni mkazi wa Mara,sehemu kama Tarime pale,mtu anaweza kukuchukia tu sababu unavaa nguo nzuri kuliko wao,Kitu Zuma,tajiri wa Moram aliua luteni wa jeshi bar,sababu ya kugombania mwanamke bar,hakuna mwenyeji wa Pwani atafanya huu ufala,Dr.Isack Sima(R.I.P),aliuawa 2023 April,sababu ya mambo hayajulikani.
Kiuhalisia huko mikoani watu wamejaa chuki na roho mbaya ambayo,unaweza shangaa sijui wameitoa ama kurithi wapi
 
Umenena vema sana mkuu..
 
Kuwa mtu mwenye roho ya upendo ni karama kutoka kwa Mungu na wala haina uhusiano wowote ule na utajiri wa pesa..
 
Na wanavyo penda shughuri sasa, hapo walijisikia raha mno.
 
Watu wenye uwezo wamekuwa obsessed na kitu kinaitwa risk assessment and management. Kabla haja saidia a Najiuliza what if....... What if.......... Mwisho wa siku hatoi msaada. Lakini wa maskini hajiulizi hayo maswali. Yeye ni kutoa msaada mengine anamwachia Mungu wake.
 
sounds true!
 
Watu wa hali ya chini have nothing to lose. They have, almost, seen it all...
 
sio upwani tuu pia uislam unawajenga Sana watu wa pwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…