Mama mwenye hali ngumu anakaa na binti mdogo mjamzito ambaye sio ndugu yake

Mama mwenye hali ngumu anakaa na binti mdogo mjamzito ambaye sio ndugu yake

hamkusoma sana na mna vipato vidogo, lakini Mwenyezi Mungu amewapa mioyo iliyojaa upendo mnoo.
Kuna uhusiano mkubwa kati ya ukalimu na kiwango Cha elimu ya mtu ,hasa kwa mtaala wetu wa Tanzania ,chunguza utagundua kitu

Binafsi nimekaa na wasukuma ambao hawajaenda shule ,ni wakalimu mbaya, tofauti na wasukuma haohao walioenda shule

Labda shule ndio tunda lenyewe walilokula Adam na Eva Hadi wakajua like
" Haaa Adam una mguu wa tatu!!!!?
Adam: mbona na wewe una mdomo mwingine huko !??

(Knowledge)
 
Wasomi wenye upendo wapo, ila ni wachache sana kwa maana wengi wao wanawaza kutoboa.

Ukarimu na Upendo ni kitu ambacho mtu anazaliwa nacho tu.
 
Kuna siku nilikuwa na hela nikampa maskini alikuwa pembeni mwa jengo.Alikuja mdada muuza ndizi alimuuliza yule maskini leo umekula?Akamwambia hapana ,yule dada alitoa ndizi kwenye kibeseni chake na kumpa yule baba kisha akaendelea na njia yake.Nilishangaa sana kwamba huyu mtu biashara yake ya kutembeza ndizi tena kwenye kibeseni kidogo ila hakujali kutoa ndizi kumpatia mwenye shida
 
Aisee. Kuna watu wana mioyo ya kushangaza sana ujue mkuu??..
 
Nasemaga kila siku humu, wazaramo pamoja na mapungufu yao ila, Kama kuna kitu wamefanikiwa ni kutokuwa na stress, huwa wanaridhika na vitu vidogo sana kwenye maisha
Hiyo kweli kabisa, si wazaramo tu, watu wa ukanda wa pwani hawana stress kabisa na maisha. Nimeishi Lindi na nimeyaona hayo, na ni wakarimu kwa kila kitu.
 
Hiyo kweli kabisa, si wazaramo tu, watu wa ukanda wa pwani hawana stress kabisa na maisha. Nimeishi Lindi na nimeyaona hayo, na ni wakarimu kwa kila kitu.
Kila kabila lina watu wakarimu, lakini wazaramo pamoja na makabila mengine ya Pwani Mungu awewanyima utajiri wa mali lakini amewapa utajiri wa roho ya upendo..
 
Mwanamke mjamzito huwa anatia huruma fulani hivi.

Jana tulikuwa tunaongelea watu wanaokuja kwa Mwamposa kutoka mikoani na kukosa huduma za kijamii. Kuna jamaa mwanaume anasema ilibidi amuokoe mwanamke mjamzito aliyekuja kwa Mawamposa bila mwenyeji, akawa anaumwa, ikabidi jamaa amchukue ampeleke nyumbani kwake, ambako alikuwa na mke tayari, mpaka akaingia lawamani majirani wakawa wanamwambia mke wake kwamba huyo bwana kamletea mkemwenza.
Mimi mtu akishakuwa mfuasi wa Mwamposa namwondolea thamani.
 
Kuna watu wana roho nzuri tu. Hata mimi kuna siku binti mmoja alichelewa kurudi kwao usiku akakuta wamefunga ikabidi aje anigongee mimi nimpe hifadhi hadi asbh. Nilimwonea sana huruma na kumruhusu aingie alale.
 
Back
Top Bottom