Mama mwenye hali ngumu anakaa na binti mdogo mjamzito ambaye sio ndugu yake

Nimesoma nimekusikitikia sana sana

Sasa, si unaumia wewe sio masikini.. Kamchukue huyo binti kuishi nae wewe na kumsaidia.. Maana unaonyesha hauwezi kumpatia yeye pesa au kumpangia sehemu na roho yako hiyo
Siwezi kusema kama mimi nina roho mbaya au njema, bali wanaonijua ndio wanaoweza kusema kuwa mimi ni mtu wa roho gani..
 
Mkuu, higher income earners wanaweza kuhisi kuwa unawachukia kwa hii statement yako kumbe upo sahihi kwa kiasi kikubwa sana..
 
Kwenye dini kuna bwana alivamiwa na wanyang'anyi na kumwacha karibu na kufa.Wakapita viongozi wa dini hawakumpa msaada.Lakini alipokutana na mtu mmoja akamhurumia na kumpeleka kwenye matibabu kwa gharama zake.Huyu naweza kunfananisha na mama uliomwelezea.Watu wa namna hii hata kama masikini hawezi kulala njaa wala kuugua.Mimi ningelipenda nipewe moyo kama huu maana huwezi kuigiza
 
Labda wewe ndio una roho mbaya, Tanzania kauli mbiu sisi sote ni NDUGU, hapo tayari ameshakua ni mtoto wake na huyo atakuwa ni mjuukuu wake
 
Upo sahihi sana mkuu..
 
Kwa Taarifa Yako, na ufanye utafiti watu wenye vipato vidogo ambao unawatazama kama maskini, ni matajiri wakubwa wa Roho na ni wepesi kusaidia wenye shida kuliko matajiri wenye uwezo mkubwa! Na hii ndio maana Ile ya heri walio maskini mana watakuona ufalme wa Mungu! .kuwafikia matajiri kuwaomba msaada ni ngumu mpaka wao watake mwisho wa mwaka kama hauu wakatoe masazo ya mwisho na makamera! Wewe kwakua umeona Hilo na wewe weka mkono hapo! Nisaidie wako wapi nikaguse maisha Yao na Mungu aniinulie watu waguse maisha yangu pia! We shine by lifting others!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…