uvugizi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,278
- 956
Ndugu labda nikwambie tu maskini huwa wanasaidiana Sana kuliko matajiri . Msaada wa maskini ni wakweli na una mguso wa Moja kwa moja , kwani anatoa the last coin .
Mfano ,Mimi miaka ya nyuma niliwahi kuwa ghetto ,akaja mshikaji wangu mmoja kuomba msaada na Mimi nilikuwa najitafuta miaka ya 1995 . Nikawa namlisha, tunapika . Mimi naenda kupiga zege nalipwa 1000 per day . Jamaa alikuja kuondoka after six months . Maisha yalikuja kumnyookea na ndiye amenifikisha hapa . Now Mimi nina maisha mazuri tu kupitia yeye . Nachukua posho taasisi ya kimataifa UN