Mama mwenye hali ngumu anakaa na binti mdogo mjamzito ambaye sio ndugu yake

Ndugu labda nikwambie tu maskini huwa wanasaidiana Sana kuliko matajiri . Msaada wa maskini ni wakweli na una mguso wa Moja kwa moja , kwani anatoa the last coin .

Mfano ,Mimi miaka ya nyuma niliwahi kuwa ghetto ,akaja mshikaji wangu mmoja kuomba msaada na Mimi nilikuwa najitafuta miaka ya 1995 . Nikawa namlisha, tunapika . Mimi naenda kupiga zege nalipwa 1000 per day . Jamaa alikuja kuondoka after six months . Maisha yalikuja kumnyookea na ndiye amenifikisha hapa . Now Mimi nina maisha mazuri tu kupitia yeye . Nachukua posho taasisi ya kimataifa UN
 
kutoa sio utajiri, kusaidia mtu sio mpaka uwe navyo vingi
 
It's a very relevant example. Ubarikiwe sana wewe na huyo jamaa yako..
 
Umeandika vema mkuu..
 
Baraka hutokea zaidi kwa watu wasaiadiao wengine. Ni mara chache sana mtu mwema kupata shida ya kumshinda kuikabili.

Mungu azidi kumbariki.
 
....ni kabila gani halina idadi fulani ndogo ya watu wa hovyo/wanafiki??
Wewe ujaelewa ninacho maanisha ...kuhusu ulicho uliza ni kwamba nilimaanisha wazaramo awajikwezi wanaroho nzuri kuliko makabila mengi ...sasa hayo makabila mengine watu wake kiasili ni wabinafsi na wana roho mbaya wakichanganya na dini zao wanazo zitumia kinafiki ndiyo inakua balaaa
 
Andiko laki linatufundisha nini
 
Nimesoma nimekusikitikia sana sana

Sasa, si unaumia wewe sio masikini.. Kamchukue huyo binti kuishi nae wewe na kumsaidia.. Maana unaonyesha hauwezi kumpatia yeye pesa au kumpangia sehemu na roho yako hiyo
Hongera! Siku hizi umetelekeza chama cha CCM. Huweki uzi kusifia tena. Wewe pamoja na malaria sugu mepotea sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…