Mama mwenye nyumba kanisamehe kodi mbele ya baba mwenye nyumba

Mama mwenye nyumba kanisamehe kodi mbele ya baba mwenye nyumba

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Kodi ilitakiwa iishe mwezi September. Nilimkusanyia mwenye nyumba 300k yake nikaiweka attention ili nikiskia "Puu" na mimi naitikia "Paaaaaaaaa", cha ajabu siku zikasonga hadi juzi 6 / 11

Baba mwenye nyumba huwa anafungasha safari kwa miezi mitatu mfululizo. Kaingia kwake majuzi kati, akawa ameniuliza kama kodi nilitoa, ile nataka kusema Happpaan-a nikaskia "Ee, alinipatia nikawa nim....."

Mola awabariki sana wanawake. Wana mioyo ya huruma sana. Mpaka muda huu sijaulizwa chochote kitu na mama mwenye nyumba since kunisemea kwa mumewe

Hii pesa wacha nimtumie mama nusu, na nusu ingine nikatafunie totozi
 
Nakushauri kaa na ky kwenye chumba chako
Kwani nimefanya kosa gani mkuu? Hatuna hata mahusiano, wala huwa sicheki cheki naye. Amefanya tu kwa wema. Mpaka sasa hajaidai wala kuniuliza, hii inaashiria huenda alikuwa anatimiza malipizi
 
Kodi ilitakiwa iishe mwezi September. Nilimkusanyia mwenye nyumba 300k yake nikaiweka attention ili nikiskia "Puu" na mimi naitikia "Paaaaaaaaa", cha ajabu siku zikasonga hadi juzi 6 / 11

Baba mwenye nyumba huwa anafungasha safari kwa miezi mitatu mfululizo. Kaingia kwake majuzi kati, akawa ameniuliza kama kodi nilitoa, ile nataka kusema Happpaan-a nikaskia "Ee, alinipatia nikawa nim....."

Mola awabariki sana wanawake. Wana mioyo ya huruma sana. Mpaka muda huu sijaulizwa chochote kitu na mama mwenye nyumba since kunisemea kwa mumewe

Hii pesa wacha nimtumie mama nusu, na nusu ingine nikatafunie totozi Badoo
Wewe acha ujinga, angalia siku mzee hayupo mfuate mama,peleka zawadi yyte ile,mpelekee hata kitenge cha laki moja mpatie utanishukuru sana,km yeye ni mambo mazuri mtoe hata out siku moja maana hio hela hataitaka
 
. Kwa maisha yako hayo bado haujafikia atua ya kupanga chumba cha elfu 50000 kwa mwenzi..

. Kujikwamua kimaisha utachelewa sana
😂😂Mkuu, kujikwamua kwa mtanzania ni kitendawili kisichokuwa na jibu, unaeza sema ujibane bane ulale kwenye mkeka, upange chumba cha giza cha 10k etc, ukashangaa unakufa kibudu ukiwa na kibubu cha 700k ndani

Maisha ndo haya haya mkuu, wacha niishi life fulani hivi hata siku nikiwa na malaika tunakula story napata cha kuhadithia

Utaanzaje kujenga wakati watoto wa 2000 wamejazana mtaani?
 
Wewe acha ujinga, angalia siku mzee hayupo mfuate mama,peleka zawadi yyte ile,mpelekee hata kitenge cha laki moja mpatie utanishukuru sana,km yeye ni mambo mazuri mtoe hata out siku moja maana hio hela hataitaka
Yaani maana yako nimpelekee moto? Hiyo sio nzuri mkuu, ana mume kumbuka
 
Back
Top Bottom