Ndio kawaida ya wabongo kaka, kulipa deni mpaka umdai ilihali anatambua kabisa ni wajibu wake kulipa.Una akili za kitoto sana, hela unayo ila kulipa kodi unataka mpaka ukumbushwe?
Mbongo anaweza akawa na million mfukoni wake, wakati huo wewe unamdai shilingi elfu kumi tu, ila akajikausha mpaka utakamkumbusha...
Yaani wabongo kutoa hela mfukoni hili walipe deni wanaona kama wanaitupa.