Mama mwenye nyumba kanisamehe kodi mbele ya baba mwenye nyumba

Kodi ilitakiwa iishe mwezi September. Nilimkusanyia mwenye nyumba 300k yake nikaiweka attention ili nikiskia "Puu" na mimi naitikia "Paaaaaaaaa", cha ajabu siku zikasonga hadi juzi 6 / 11

Baba mwenye nyumba huwa anafungasha safari kwa miezi mitatu mfululizo. Kaingia kwake majuzi kati, akawa ameniuliza kama kodi nilitoa, ile nataka kusema Happpaan-a nikaskia "Ee, alinipatia nikawa nim....."

Mola awabariki sana wanawake. Wana mioyo ya huruma sana. Mpaka muda huu sijaulizwa chochote kitu na mama mwenye nyumba since kunisemea kwa mumewe

Hii pesa wacha nimtumie mama nusu, na nusu ingine nikatafunie totozi
Kwanini nusu usimtumie baba yako?
 
anataka mzee akiondoka, aichukue aitumie. wala usiwaze uchafu mwingine huo.
 
Kodi ilitakiwa iishe mwezi September. Nilimkusanyia mwenye nyumba 300k yake nikaiweka attention ili nikiskia "Puu" na mimi naitikia "Paaaaaaaaa", cha ajabu siku zikasonga hadi juzi 6 / 11

Baba mwenye nyumba huwa anafungasha safari kwa miezi mitatu mfululizo. Kaingia kwake majuzi kati, akawa ameniuliza kama kodi nilitoa, ile nataka kusema Happpaan-a nikaskia "Ee, alinipatia nikawa nim....."

Mola awabariki sana wanawake. Wana mioyo ya huruma sana. Mpaka muda huu sijaulizwa chochote kitu na mama mwenye nyumba since kunisemea kwa mumewe

Hii pesa wacha nimtumie mama nusu, na nusu ingine nikatafunie totozi
utailipa in kind
 
Back
Top Bottom