Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
300k ni nini hii 🤔🤔??Nilimkusanyia mwenye nyumba 300k yake
Laki tatu, kodi ya miezi 6300k ni nini hii 🤔🤔??
Kwani nimefanya kosa gani mkuu? Hatuna hata mahusiano, wala huwa sicheki cheki naye. Amefanya tu kwa wema. Mpaka sasa hajaidai wala kuniuliza, hii inaashiria huenda alikuwa anatimiza malipiziNakushauri kaa na ky kwenye chumba chako
Mkongo tena mkuu😲😲Usisahau kununua mkongo
Hapana mkuu, mzazi wangu mmoja ni mchaga. Kwenye vikao vyetu vya mwezi Desemba huwa tunahimizwa kutokuruhusu pesa itoke ovyo ovyo bila usemi ama maandishiUna akili za kitoto sana, hela unayo ila kulipa kodi unataka mpaka ukumbushwe?
Kwanini mkuu, chalinze ndo nini ama ndo wapi huko Daslamu?Hufiki chalinze wewe ...
. Kwa maisha yako hayo bado haujafikia atua ya kupanga chumba cha elfu 50000 kwa mwenzi..Laki tatu, kodi ya miezi 6
Kwanini mkuu, chalinze ndo nini ama ndo wapi huko Daslamu?
Wewe acha ujinga, angalia siku mzee hayupo mfuate mama,peleka zawadi yyte ile,mpelekee hata kitenge cha laki moja mpatie utanishukuru sana,km yeye ni mambo mazuri mtoe hata out siku moja maana hio hela hataitakaKodi ilitakiwa iishe mwezi September. Nilimkusanyia mwenye nyumba 300k yake nikaiweka attention ili nikiskia "Puu" na mimi naitikia "Paaaaaaaaa", cha ajabu siku zikasonga hadi juzi 6 / 11
Baba mwenye nyumba huwa anafungasha safari kwa miezi mitatu mfululizo. Kaingia kwake majuzi kati, akawa ameniuliza kama kodi nilitoa, ile nataka kusema Happpaan-a nikaskia "Ee, alinipatia nikawa nim....."
Mola awabariki sana wanawake. Wana mioyo ya huruma sana. Mpaka muda huu sijaulizwa chochote kitu na mama mwenye nyumba since kunisemea kwa mumewe
Hii pesa wacha nimtumie mama nusu, na nusu ingine nikatafunie totozi Badoo
😂😂Mkuu, kujikwamua kwa mtanzania ni kitendawili kisichokuwa na jibu, unaeza sema ujibane bane ulale kwenye mkeka, upange chumba cha giza cha 10k etc, ukashangaa unakufa kibudu ukiwa na kibubu cha 700k ndani. Kwa maisha yako hayo bado haujafikia atua ya kupanga chumba cha elfu 50000 kwa mwenzi..
. Kujikwamua kimaisha utachelewa sana
Utabeba ujauzito wa baba mwenye nyumba ndani ya dakika 3 zijazo.
vaa chupi ya chuma faster!!
Akisha mtoa out, wanapitia MtoMsimbazi kuogelea ili kutoa jasho walilolipata kwenye mizunguko ya hapa na pale. 🤒🤒🤒km yeye ni mambo mazuri mtoe hata out siku moja maana hio hela hataitaka
Si kanisamehe kodi lakini! Ila nitakaa nayo hii hela kwa siku 15 hivi, nikiona hana dalili za kuidai, nafanyia mambo yangu mengineDah nacheka tu...nawewe unaamani kabisa
Yaani maana yako nimpelekee moto? Hiyo sio nzuri mkuu, ana mume kumbukaWewe acha ujinga, angalia siku mzee hayupo mfuate mama,peleka zawadi yyte ile,mpelekee hata kitenge cha laki moja mpatie utanishukuru sana,km yeye ni mambo mazuri mtoe hata out siku moja maana hio hela hataitaka