Ndio kawaida ya wabongo kaka, kulipa deni mpaka umdai ilihali anatambua kabisa ni wajibu wake kulipa.Una akili za kitoto sana, hela unayo ila kulipa kodi unataka mpaka ukumbushwe?
. UPUUZI HUU 🙁🙁🙁.😂😂Mkuu, kujikwamua kwa mtanzania ni kitendawili kisichokuwa na jibu, unaeza sema ujibane bane ulale kwenye mkeka, upange chumba cha giza cha 10k etc, ukashangaa unakufa kibudu ukiwa na kibubu cha 700k ndani
Maisha ndo haya haya mkuu, wacha niishi life fulani hivi hata siku nikiwa na malaika tunakula story napata cha kuhadithia
Utaanzaje kujenga wakati watoto wa 2000 wamejazana mtaani?
Nilifikiria hivyo siku hiyo, cha ajabu mpaka leo ananipita tu bila kukumbushiaKiongozi hiyo pesa usiitumie, huyo mama atakutafuta pembeni ili umpe ni ya marejesho, hakutaka umpe mzee
Duh! Ngojea nivutevute siku kama 15 hivu, au nimdodose nione mrejesho?Dogo hela haiachwi kirahisi hivyo. Kuna mawili: 1. Mama hiyo hela ataichukua kutoka kwako baadaye ili aitumie kwa mambo yake, au 2. Amekuhonga kinamna ili baadaye uwe kiben 10 chake. Hivyo endelea kuitunza pesa yake.
Sasa chumba cha elfu 50 ndo chumba cha kusema maisha ni haya haya?😂😂Mkuu, kujikwamua kwa mtanzania ni kitendawili kisichokuwa na jibu, unaeza sema ujibane bane ulale kwenye mkeka, upange chumba cha giza cha 10k etc, ukashangaa unakufa kibudu ukiwa na kibubu cha 700k ndani
Maisha ndo haya haya mkuu, wacha niishi life fulani hivi hata siku nikiwa na malaika tunakula story napata cha kuhadithia
Utaanzaje kujenga wakati watoto wa 2000 wamejazana mtaani?
Tatizo kibamia kaka kibamia😭😭😭😭
Unamaanisha kumtupia jicho? Sijawahi kumfikiria hata kidogo kimapenzi. Namuheshimu kama mama mwenye nyumba yangu hata kama amefungasha mdambwada, ni wa mumewe!Uja mpa jicho kweli?
AhahahUnamaanisha kumtupia jicho? Sijawahi kumfikiria hata kidogo kimapenzi. Namuheshimu kama mama mwenye nyumba yangu hata kama amefungasha mdambwada, ni wa mumewe!