ha ha ha ha!hapa sasa unataka kuleta hoja mpya ambayo tutaanza kuhamishana meza
ha ha ha ha!
Mkuu jaribu kumuuliza mtu mmoja mmoja......!
singo lady anaetembea na mume wa mtu au married lady anaetembea na singo-playboy which is the lesser evil?
HAYA BWANA!
kwa hiyo unamaanisha kuinjoi ni FUNCTION of TIME(in seconds)
i cant believe mna-embrace huu ujinga...!
i cant believe mna-embrace huu ujinga...!
kwani kuolewa ni lazima mkuu?....
watu wangeenda kwa waganga kutafuta waume?
Unazitaka kwenye UTM au? :A S crown-1:
maana yangu hapo ni kwamba kuolewa sio RULE....!kwamba muda ukifika lazima uolewe....wakat mwingine sio lazima uolewe ndo maana wengine wanalazimishaHaya maswali yanaongelea nini? Kwamba kuolewa si lazima ila watu wanaenda kwa waganga kutafuta dawa ili waolewe, au mimi ndo sielewi?
1. Mara oh mimi nimechoka sana, wiki hii uniache...Samahani...
Hayo mambo ambayo mama mwenye nyumba hawezi kufanya ni kama nini vile...?!
ha ha ha ha!tayari wamekwisha anzaaaa
tofauri na wenginee.................................
heroes are not those who never lose, but those who never quit....
heroes = mpango mzima
ha ha ha!Napenda kuweka malalamiko yangu rasmi.....hii thredi inaenda haraka kupita maelezo.....kurasa 10 kabla sijasoma ukurasa wa kwanza?
@Teamo....hii thredi imelenga kupata maoni ya MMN na MN?....napendekeza hii thredi iwe exclusive kwa wale ambao ni MMN na MN....wapi Da Sophy?
[@Asprin/Kaizer: (Sensa na ule mpango wa PJ aruchaga?)]
ha ha ha ha!
MAISHA YANGEKUWA HIVI TUNGEYAWEZA KWEELI?....lakini ndivyo watu wanavyopaniki kwenye KOMMENTS ZAAAOOOOO TIFAUTI NA WENGINEEEEEEEEEEEE........!sisi hatupaniki badala yake tunaweka hoja mezani watu wanajadili na kubishana kwa hoja HII NI MMU YA UKWELI PEKEEEEEEEE
TAYARI AMEKWISHAA ANZAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!.....
CCM NDIO CHAAMAAAAAAAAAAAAAAA
napenda kuweka malalamiko yangu rasmi.....hii thredi inaenda haraka kupita maelezo.....kurasa 10 kabla sijasoma ukurasa wa kwanza?
@teamo....hii thredi imelenga kupata maoni ya mmn na mn?....napendekeza hii thredi iwe exclusive kwa wale ambao ni mmn na mn....wapi da sophy?
[@asprin/kaizer: (sensa na ule mpango wa pj aruchaga?)]
1. Mara oh mimi nimechoka sana, wiki hii uniache...
2. Chachandu ni uhuni, kwani zinaongeza nini...
3. Mimi siwezi kufanya staili za malaya/changudoa, mimi mke wa ndoa bwana...
4. Siendi baa, mimi nimeokoka....
5. n.k
na mengine kibao...
i cant believe mna-embrace huu ujinga...!
tayari wamekwisha anzaaaa
tofauri na wenginee.................................