''MAMA MWENYE NYUMBA'' vs ''MPANGO WA KANDO''-WHO ENJOYS?

MSISITIZO:mama mwenye ndoa yake/aliyeolewa HAWEZI KUWA ''MPANGO WA NJE'' wa mtu yoyote.

MPANGO WA KANDO-inamuhusisha mwanaume aliyeoa na ''A SINGLE BEAUTIFUL LADY''
 

chauro mama mwenye nyumba hawezi kuwa mpango wa nje wa mtu mwingine banaa
 
1. Mara oh mimi nimechoka sana, wiki hii uniache...
2. Chachandu ni uhuni, kwani zinaongeza nini...
3. Mimi siwezi kufanya staili za malaya/changudoa, mimi mke wa ndoa bwana...
4. Siendi baa, mimi nimeokoka....
5. n.k

na mengine kibao...

Aisee....
 

Wanaume mna matatizo jamani!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwa kifupi mpaka sasa mpango wa nje unaongoza mbili bila. Manake naona wanawake wanaupinga wakati wanaume wote wameuunga mkono. Sasa jiulizeni hawa wanaume wanaosapoti kampeni ya mpango wa nje,ambao pia ni waumini wa mpango wenyewe, huo mpango wanaupanga na kina nani? Wanaume wenzao? Agrrrrrrrrrrrr...........

Kwa kifupi wanawake acheni unafiki.

Babu anarudi kitandani kulala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…