''MAMA MWENYE NYUMBA'' vs ''MPANGO WA KANDO''-WHO ENJOYS?

''MAMA MWENYE NYUMBA'' vs ''MPANGO WA KANDO''-WHO ENJOYS?

nimewasoma ngoja nikafanye practice mwalimu mzuri ni yule anafanya kwa vitendo halafu ntakuja na majibu kwa wababa wa JF ivi mlivyo na roho ndogo mkisikia mnamegewa inakuwaje maana sielewi mnachoandika hembu fikiria mama toto ni mpango wa nje wa FINEST AU TEAMO vyote anapewa huko kupunguza stress unazompa nawasubiri kama mada haijageuzwa hii sijui
MSISITIZO:mama mwenye ndoa yake/aliyeolewa HAWEZI KUWA ''MPANGO WA NJE'' wa mtu yoyote.

MPANGO WA KANDO-inamuhusisha mwanaume aliyeoa na ''A SINGLE BEAUTIFUL LADY''
 
nimewasoma ngoja nikafanye practice mwalimu mzuri ni yule anafanya kwa vitendo halafu ntakuja na majibu kwa wababa wa jf ivi mlivyo na roho ndogo mkisikia mnamegewa inakuwaje maana sielewi mnachoandika hembu fikiria mama toto ni mpango wa nje wa finest au teamo vyote anapewa huko kupunguza stress unazompa nawasubiri kama mada haijageuzwa hii sijui

chauro mama mwenye nyumba hawezi kuwa mpango wa nje wa mtu mwingine banaa
 
1. Mara oh mimi nimechoka sana, wiki hii uniache...
2. Chachandu ni uhuni, kwani zinaongeza nini...
3. Mimi siwezi kufanya staili za malaya/changudoa, mimi mke wa ndoa bwana...
4. Siendi baa, mimi nimeokoka....
5. n.k

na mengine kibao...

Aisee....
 
WAKUU,
HABARINI ZA MAJILIO?

naomba mawazo yenu katika muendelezo ule ule wa ''kuelezana ukweli unaohuzunisha''.....

ASSUMING KWAMBA SITUATION IMETOKEA HIVYO na baba mwenye nyumba ameamua kuwa na ''mpango wa kando'' kwa sababu zozote zile,mi nataka tupeane mawazo kwamba hivi ni nani anaeinjoi mapenzi zaidi ya mwenzake kati ya:

1)-MAMA MWENYE NYUMBA

-ambaye ndo mke wako wa ndoa
-ambaye ndo yuko responsible bega kwa bega na wewe katika kuikuza familia
-ambaye anavumilia kwa hali yoyote ile muda wowote ule utakao amua kurudi
-ambaye muda wote wa usiku wa giza anakuwa na mawazo kibao kwamba ''mume wangu amepatwa na nini''
-ni mke wako ''enewei'' na she is entitled to whatever is brought for the family
-ambaye utakata roho ukiwa mikononi mwake

2)-MPANGO WA NJE.
-she is entitled to kampani,route na vikao vyote vya pombe/movie etc
-anapewa nafasi ya kuagiza chochote anachotaka mkiwa baa
-anapewa nafasi ya kupelekwa shoping na kujiagizia chochote
-anakuwa na uhakika wa credits,means za tranzport (hata kumrash home kila siku sio ishu)
-anapewa nafasi adimu ya kuchat na wewe 24/7
-anapewa nafasi ya kudeka anavyotaka
-anapewa nafasi ya kunisindikiza arusha kuungana na pakajimi na kampani kubwa ya jf ya ARACHUGA


TUSAIDIANE HAPO MAWAZO,who is enjoying?
....and why?

Wanaume mna matatizo jamani!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwa kifupi mpaka sasa mpango wa nje unaongoza mbili bila. Manake naona wanawake wanaupinga wakati wanaume wote wameuunga mkono. Sasa jiulizeni hawa wanaume wanaosapoti kampeni ya mpango wa nje,ambao pia ni waumini wa mpango wenyewe, huo mpango wanaupanga na kina nani? Wanaume wenzao? Agrrrrrrrrrrrr...........

Kwa kifupi wanawake acheni unafiki.

Babu anarudi kitandani kulala.
 
Back
Top Bottom