''MAMA MWENYE NYUMBA'' vs ''MPANGO WA KANDO''-WHO ENJOYS?


Hivi NN, ulishawahi kuwa mpango wa nje wa mtu katika life yako?
 
mpaka hapo ''hamna'' kitu ndoa.....!

tiketi nyingine ya kumfanyia maisha ''mpango wa kando''

labda kwa wengine, mie yangu ipo na itaendelea kuwepo na kwa style hiyo hapo.....kwa wanangu sawa kwa mambo mengine c mnajifanya vichwa vya nyumba? bac mie kazi yangu ni kumsaidia kuleta/kupanga maendeleo!...haikuwa hivyo awali lakini kuanzia ile mikiki mikiki bac haaaa anajua kabisa ctaki kuckia baba chupa wala mama mfuniko...mahitaji yanamuhusu mwanzo mwisho.
 

Daaaa eti dada nyamayao eee! hivi hawezi kuridhika na mimi pamoja na huyo mother house wake jamani.
Sasa wanaume hapo ndo mnaponipa tabu.
 

Babu leo mbona hubanduki kitandani........au ndo mpango wa nje
 
tiketi nyingine hiyo ya ''KUCHOSHANA'' na baadae jamaa anaendelea na ''mpango wa nje''.....
 
Hivi NN, ulishawahi kuwa mpango wa nje wa mtu katika life yako?

Bacha naomba utafute njia mbadala ya kufupisha jina langu plz!(ni ombi).....bado cjafikiria hata kwa mbali....
 
Aisee pamoja na kuitetea sana thread yenu jana kwenye kikaango cha Acid, bado unataka kuchezea kaka zako?

My infii mbona umekuwa mkali tena????
 
tiketi nyingine hiyo ya ''KUCHOSHANA'' na baadae jamaa anaendelea na ''mpango wa nje''.....


na aende akatumie jasho lake, sio langu limechangia liende kwenye anasa zake....btw hata nikitumia hii njia nictumie nje mkitaka kwenda mnaenda tu....sema kuna ile kaishiwa ndio nitamrushia visenti lakini sio maozea!...halafu namchosha kuhudumia"familia yake?...haaa miujiza.
 
Asikudanganye mtu bana, hakuna kitu murua kama kua na mkeo ndani, yaani hata kama anasonga ugali, unamuita room halafu ndio inakua vile tena! Hayo mambo ya mechi za ugenini mara mchezaji kagoma au kashindwa kutoka...mmh unaishia kukasirika tu!! I love mama ya watoto yangu!
 
aisee pamoja na kuitetea sana thread yenu jana kwenye kikaango cha acid, bado unataka kuchezea kaka zako?

si unajua hii ni december kwahiyo naweka "mipango sawa"

 
Ukiongea na mimi vizuri ukanisomesha nikasomeka inawezekana kabisa....unatafuta mpango wa nje Finest???

Nyie hamuwezi kuingia kwenye mpango wa nje, bado wadogo nyie, shughulikieni kwanza mpango mzima, haya mengine tuachieni sisi
 
ukiongea na mimi vizuri ukanisomesha nikasomeka inawezekana kabisa....unatafuta mpango wa nje finest???

according tu wachangiaji wote humu inaonekana mpango wa nje ndio dili, basi na mimi nataka nitesti mpango wa nje nitaanza kwa kuku-pm
 
nyie hamuwezi kuingia kwenye mpango wa nje, bado wadogo nyie, shughulikieni kwanza mpango mzima, haya mengine tuachieni sisi

hizi habari za kutaka kuhamishana meza hizi niliziona tokea mwanzo
 
Kuna wanawake wengine YEYE NI
'MAMA MWENYE NYUMBA'' ........KWAKO.......... NA VILE VILE NI ''MPANGO WA KANDO'' ......KWA MUUZA GENGE---------HIVYO YEYE NDO ANAFAIDI
 
Daaaa eti dada nyamayao eee! hivi hawezi kuridhika na mimi pamoja na huyo mother house wake jamani.
Sasa wanaume hapo ndo mnaponipa tabu.

mwanaume walio wengi wakitoka nje ucdhani atadumu na wewe kivile, akimaliza kale ka uzuri kako ujue atatafuta mwingine, jinc mie mke wake anavyonifanyia ndio atakavyokufanyia wewe, mie c ziwa limedondoka kwa kumnyonyesha yeye na wanae, sasa wewe kalidondosha kwa kubembea nalo....hapo faida ipo kwangu japo atakumbuka kuna familia atatimua mbio kurudi hme....baadhi ya wadada nawashangaa sana,hebu mjifunze kuringia usichana wenu...huyu mume wa mtu anakupimia muda anatoka saa mbili anakuambia namuwahi "wife"...we umeridhika tu kutumika, labda awe gold digger nitamuelewa otherwise hakunaga mapenzi ya kweli kutoka kwa mume wa mtu, tena mwanaume anaeijali familia yake ndio kabisaaa wanajua kuwapotezea warembo muda....
 

kama una mama mwenye nyumba nahaujawahi kujaribu mpango wa nje usijaribu kabisa

onyo: dont try this
 
asante sana!
wanawake kama wewe ndio ninaopenda waendelee kuwepo duniani.....
hapa wewe hoja ni KUTUMIA HELA YA NANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…