''MAMA MWENYE NYUMBA'' vs ''MPANGO WA KANDO''-WHO ENJOYS?

Helo Wiselady, habari yako LOVE?? Umeonana na mtu mmoja anaitwa Asprin?

Niko hapa hommie. Ulikuwa unasema...?....Hakikisha hapa, ili ujue nimekutukuza kwa kujali maslahi yangu.

The Following 3 Users Say Thank You to Kaizer For This Useful Post:
Asprin(Today), GY (Today), Teamo (Today)
 
Tatizo si kujua bali wanajua kiasi ie. wana taarifa kiasi gani kuhusu tabia za waume zao wakware!

Hapo ndo shida kwani wanaume hutamani kufa wakifikiria hiyo kitu. Wanasahau kuwa mwosha huoshwa na...kula ili uliwe!!!

lakini mkuu,
mi naona huwa inapendeza sana ''mpango wa nje'' wa kike akiwa HANA NDOA
 
Tatizo ni kwamba huko nje mnakoenda kupunguza stress mnajiachia kwelikweli,maufundi yote ya kumwaga kuliko hata kwa father house wako orijino!!!!!!

Bacha hayo maufundi kwanini usimfanyie mkeo/mumeo????????????????
 
mwenyekiti hebu maliza ''utata'' huu....!

''MPANGO WA NJE'' vs ''MAMA MWENYE NYUMBA''

Hakuna utata wowote hapo kijana wangu,,......halafu ukisema "mama mwenye nyumba" mi napata picha ya wale wanaopangisha chumba kimoja kimoja, nyumba moja ina vyumba ishirini kisha umeme hakuna na maji ni ya kununua...
 
Hautoi stress wala nini, unamfanya mtu ku-postpone matatizo yake katika mahusiano. Ni kama vile kuvuta bangi au kubwia unga!
LAKIN WITH TIME you get healed.....!

maanake si mnasemaga TIME HEALS
 
tatizo si kujua bali wanajua kiasi ie. Wana taarifa kiasi gani kuhusu tabia za waume zao wakware!

Hapo ndo shida kwani wanaume hutamani kufa wakifikiria hiyo kitu. Wanasahau kuwa mwosha huoshwa na...kula ili uliwe!!!

dc kwamba mla naye huliwa
 
Hakuna utata wowote hapo kijana wangu,,......halafu ukisema "mama mwenye nyumba" mi napata picha ya wale wanaopangisha chumba kimoja kimoja, nyumba moja ina vyumba ishirini kisha umeme hakuna na maji ni ya kununua...
ha ha ha ha!
inaonekana hujasoma post ''mama'' hapo juu
 
Teamo uliniacha mbali sana kusema mama mwenye nyumba halafu hiyo mpango wa nje du ndo naisikia leo.
Nadhani muhimu ni kwa mwanaume kujua limits zake kati ya MMN na MWJ..vinginevyo anaemiliki kihalali anaenjoy mana hajifichi wala kuogopa kuonwa
 
lakini mkuu,
mi naona huwa inapendeza sana ''mpango wa nje'' wa kike akiwa HANA NDOA

Yaani unamanisha 'MPANGO MZIMA' wa mwenzio ndo uwe 'MPANGO WA NJE' wako?

Kwa hiyo unakuwa 'MPANGO MZIMA WA NJE' au?

Aisee sasa naanza kukubali, tukonstreti na dinomineta tu....
 
Niko hapa hommie. Ulikuwa unasema...?....Hakikisha hapa, ili ujue nimekutukuza kwa kujali maslahi yangu.

The Following 3 Users Say Thank You to Kaizer For This Useful Post:
Asprin(Today), GY (Today), Teamo (Today)

(Mpe risiti yake kabisa........)
 
Teamo uliniacha mbali sana kusema mama mwenye nyumba halafu hiyo mpango wa nje du ndo naisikia leo.
Nadhani muhimu ni kwa mwanaume kujua limits zake kati ya MMN na MWJ..vinginevyo anaemiliki kihalali anaenjoy mana hajifichi wala kuogopa kuonwa
haya bibi mkubwa........!
NADHAN TUNGEZIJADILI LIMITS
 
ha ha ha ha!
inaonekana hujasoma post ''mama'' hapo juu

Big Braza ODM keshamaliza kabisa kila kitu hapo.....sasa nikisema itakuwa repitition au hujasoma bandiko "mama" la mkuu ACID kuhusu reflection?
hapa imebaki story tu lini tunaandamana kudai chatroom irudishwe?
 
Nimeipenda hiyo avatar yako inanitamanisha yani acha tu... natamani kupaa now:focus:
it depends na wapi baba mwenye nyumba anaspend muda wake mwingi... huko anapospend muda mwingi huko basi ujue anafaidi sana huyo anayepewa muda kibao mengine mi huwa hayajalishi sana.. time spent kwangu ndio constant factor
 
yaani unamanisha 'mpango mzima' wa mwenzio ndo uwe 'mpango wa nje' wako?

Kwa hiyo unakuwa 'mpango mzima wa nje' au?

Aisee sasa naanza kukubali, tukonstreti na dinomineta tu....

"mpango mzima wa nje ndani"
 
Teamo uliniacha mbali sana kusema mama mwenye nyumba halafu hiyo mpango wa nje du ndo naisikia leo.
Nadhani muhimu ni kwa mwanaume kujua limits zake kati ya MMN na MWJ..vinginevyo anaemiliki kihalali anaenjoy mana hajifichi wala kuogopa kuonwa

hii point sana tuu, Nimegonga senks
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…