Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
kwahiyo "mpango wa nje" ni kwa ajili ya kutoa stress
Hautoi stress wala nini, unamfanya mtu ku-postpone matatizo yake katika mahusiano. Ni kama vile kuvuta bangi au kubwia unga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahiyo "mpango wa nje" ni kwa ajili ya kutoa stress
Helo Wiselady, habari yako LOVE?? Umeonana na mtu mmoja anaitwa Asprin?
Tatizo si kujua bali wanajua kiasi ie. wana taarifa kiasi gani kuhusu tabia za waume zao wakware!
Hapo ndo shida kwani wanaume hutamani kufa wakifikiria hiyo kitu. Wanasahau kuwa mwosha huoshwa na...kula ili uliwe!!!
Tatizo ni kwamba huko nje mnakoenda kupunguza stress mnajiachia kwelikweli,maufundi yote ya kumwaga kuliko hata kwa father house wako orijino!!!!!!
mwenyekiti hebu maliza ''utata'' huu....!
''MPANGO WA NJE'' vs ''MAMA MWENYE NYUMBA''
tatizo si kujua bali wanajua kiasi ie. Wana taarifa kiasi gani kuhusu tabia za waume zao wakware!
Hapo ndo shida kwani wanaume hutamani kufa wakifikiria hiyo kitu. Wanasahau kuwa mwosha huoshwa na...kula ili uliwe!!!
ha ha ha ha!Hakuna utata wowote hapo kijana wangu,,......halafu ukisema "mama mwenye nyumba" mi napata picha ya wale wanaopangisha chumba kimoja kimoja, nyumba moja ina vyumba ishirini kisha umeme hakuna na maji ni ya kununua...
lakini mkuu,
mi naona huwa inapendeza sana ''mpango wa nje'' wa kike akiwa HANA NDOA
Niko hapa hommie. Ulikuwa unasema...?....Hakikisha hapa, ili ujue nimekutukuza kwa kujali maslahi yangu.
The Following 3 Users Say Thank You to Kaizer For This Useful Post:
wanakuwa kama wanakomoa vile......!
haya bibi mkubwa........!Teamo uliniacha mbali sana kusema mama mwenye nyumba halafu hiyo mpango wa nje du ndo naisikia leo.
Nadhani muhimu ni kwa mwanaume kujua limits zake kati ya MMN na MWJ..vinginevyo anaemiliki kihalali anaenjoy mana hajifichi wala kuogopa kuonwa
(Mpe risiti yake kabisa........)
Bacha hayo maufundi kwanini usimfanyie mkeo/mumeo????????????????
ha ha ha ha!
inaonekana hujasoma post ''mama'' hapo juu
WAKUU,
HABARINI ZA MAJILIO?
naomba mawazo yenu katika muendelezo ule ule wa ''kuelezana ukweli unaohuzunisha''.....
ASSUMING KWAMBA SITUATION IMETOKEA HIVYO na baba mwenye nyumba ameamua kuwa na ''mpango wa kando'' kwa sababu zozote zile,mi nataka tupeane mawazo kwamba hivi ni nani anaeinjoi mapenzi zaidi ya mwenzake kati ya:
1)-MAMA MWENYE NYUMBA
-ambaye ndo mke wako wa ndoa
-ambaye ndo yuko responsible bega kwa bega na wewe katika kuikuza familia
-ambaye anavumilia kwa hali yoyote ile muda wowote ule utakao amua kurudi
-ambaye muda wote wa usiku wa giza anakuwa na mawazo kibao kwamba ''mume wangu amepatwa na nini''
-ni mke wako ''enewei'' na she is entitled to whatever is brought for the family
-ambaye utakata roho ukiwa mikononi mwake
2)-MPANGO WA NJE.
-she is entitled to kampani,route na vikao vyote vya pombe/movie etc
-anapewa nafasi ya kuagiza chochote anachotaka mkiwa baa
-anapewa nafasi ya kupelekwa shoping na kujiagizia chochote
-anakuwa na uhakika wa credits,means za tranzport (hata kumrash home kila siku sio ishu)
-anapewa nafasi adimu ya kuchat na wewe 24/7
-anapewa nafasi ya kudeka anavyotaka
-anapewa nafasi ya kunisindikiza arusha kuungana na pakajimi na kampani kubwa ya jf ya ARACHUGA
TUSAIDIANE HAPO MAWAZO,who is enjoying?
....and why?
(Niko naichapisha huku kwa wachina)
yaani unamanisha 'mpango mzima' wa mwenzio ndo uwe 'mpango wa nje' wako?
Kwa hiyo unakuwa 'mpango mzima wa nje' au?
Aisee sasa naanza kukubali, tukonstreti na dinomineta tu....
Teamo uliniacha mbali sana kusema mama mwenye nyumba halafu hiyo mpango wa nje du ndo naisikia leo.
Nadhani muhimu ni kwa mwanaume kujua limits zake kati ya MMN na MWJ..vinginevyo anaemiliki kihalali anaenjoy mana hajifichi wala kuogopa kuonwa