hapa mama najua WENGI WATAKUPINGA.....!lakin huo ndio ukweliLakini kila chenye faida kina hasara pia!!! But kama faida ni kubwa kuliko hasara, tunachagua.
So kama infii anapata furaha, amani, upendo nakadhalika zote kuliko mama mwenye nyumba,
Tunaweza kusema bora kuchagua Hiyo (MY INFII)
lakini kila chenye faida kina hasara pia!!! But kama faida ni kubwa kuliko hasara, tunachagua.
So kama infii anapata furaha, amani, upendo nakadhalika zote kuliko mama mwenye nyumba,
tunaweza kusema bora kuchagua hiyo (my infii)
infii huanzia ndani ya ndoa yako
Na kwanini watu wana-enjoy?
Mpango wa nje?
Hujambo MNCP wangu mambo?
Hapa mpango wa nje kivip? maana yeye ndo anakua na mpango wa nje sio yeye anafanywa kua mpango wa nje au? :bump:mpaka pale atakapokuwa mama mwenye nyumba lakini still anaweza akaendelea kufanywa mpango wa nje na mtu mwingine kwahiyo mechi bado inakuwa ngumu
kirefu chake tafadhali
kwahiyo nani alikutuma uolewe au kuoa kama unaona infii ni bora
hahahaha hii umeichakachua kabsaaaa!!Mpango wa NJE CuP
ha ha ha ha ha ha!
CCM NDIO CHAAMAAAAAAAAAAAAAAAAA..................CCEM YAJENGA NCHI!
HA HA HA HA!ld hebu check your pm shortly...........Swala si mpango wa nje na mama mwenye house, nachagua mpango wa nje naachana na mambo ya mama mwenye nyumba.
Nahesabu gharama hapo, nkiona kusema my Infii ni afadhali kuliko My husband NACHAGUA (MY INFII)
ok, mimi naamua hivi, siolewi lkn mume wa mtu, au hiyo nayo sio infii??
hapa mpango wa nje kivip? Maana yeye ndo anakua na mpango wa nje sio yeye anafanywa kua mpango wa nje au? :bump:
mwanamke anaruhusiwa!infact tunamrekommend infii wakike ambae ni singo
Unazitaka kwenye UTM au? :A S crown-1:hebu toa cordinates inawezekana umekaa counter ya juu wewe