Mama mwenye Radio E FM amekuwa mtangazaji baada ya Maulid Kitenge kuondoka


Commandant, mambo yakoje,Maulid ni chuma cha kazi
 
Leo Kitenge kawa dhahabu. Huyu huyu aliyekandiwa eti hamfikii Muyenji wa Gamba (RIP) as if kwenda nje ndiyo kila kitu.

Maulid ni talented na innovative sana. Kama Wasafi wamevunja bank kuwa naye, hawatajutia uamuzi wao.

Junatatu nitakuwa nao much as I hate Mond.
 
Mpoki je
 

Kwani hao ulowataja wanauhusiano wa kimapenzi wa moja kwa moja na wamiliki wa hizo redio?
 
Wahindi mbona wamejaa ndugu na biashara inatusua?
 
Eti niweke pumbu chini namsikiliza Lulu anidadavulia habari za michezo na mambo mengine.

Mimi!
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Nawashauri EFM kupitia dirisha dogo wamchukue kijana mmoja pale radio UHURU jina lake limenitoka kidogo, anatosha kuziba pengo la kitenge kwenye michezo tu.
Halafu huu usajili wa wasafi isijekuwa kama wa PJ kwenda EFM kutoka craussss, alikaa miezi kadhaa, mawingu wakapanda dau wakamchukua tena.
Pesa ina jeuri nyiee, safari hii tunaweza kuwa na mtangazaji ghali zaidi hapa tz.
 
Ataweza tuu ndo kujifunza huko huko mbona zembwela ameweza kwa sasa anakimbiza na sio zembwela tuu mbana mpoki nae ni mtangaji au kicheko wako wengi nikiwaelezea hapa simalizi leo.
Anatakiwa ajifunzie kwenye Vipindi vya Saa NNE hadi saa saba mchana huwa vinasikilizwa na watu wa uswahilini na beki tatus
 
Father house punguza stress, relax, usikimbize upepo kihisia ungali hujui mwanzo wake wala mwisho wake Bosi
Ataweza tuu ndo kujifunza huko huko mbona zembwela ameweza kwa sasa anakimbiza na sio zembwela tuu mbana mpoki nae ni mtangaji au kicheko wako wengi nikiwaelezea hapa simalizi leo.
 
Hoja nzuri sana hii, tena huku kwetu matombo huwa twaiita "unang'ata huku unapuliza kama panya buku waaa..." [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…