BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Leo Kitenge kawa dhahabu. Huyu huyu aliyekandiwa eti hamfikii Muyenji wa Gamba (RIP) as if kwenda nje ndiyo kila kitu.
Maulid ni talented na innovative sana. Kama Wasafi wamevunja bank kuwa naye, hawatajutia uamuzi wao.
Junatatu nitakuwa nao much as I hate Mond.
Wahindi mbona wamejaa ndugu na biashara inatusua?
Kwanini biashara za wahindi zinafanywa kindugu lakini hazifi ?Siku zote biashara ukitaka ife, basi weka undugu. Katika biashara ukitaka iendelee kusimama, wrka watu baki ambao wataogopa kufanya hujuma yoyote kwa ajili ya kulinda kazi yao. Naitabiria Efm kifo baada ya muda fulani. Hii ni kwa sababu, atakachotaka Elizabeth kipite hata kama ni cha kijinga kisicho na maslahi ndicho kitapita. Isitoshe huyu ni msanii, sasa mafunzo ya utanfazaji amepata lini?
Shida n kipenz cha watu wa Aina gan? Je n kipenz cha Aina ya watu ambao n wasikilizaj was kipind husika au n kupoza hata walio kua wakiendelea kusikiliza kbisaNinadhan father house anatafuta attention ya watu baada ya Kitenge kuondoka na ameona mother house ni kipenzi cha wengi.
Hata hivyo efm Bado haiskiki Tanzania yoteMajizzo ajitafakari Kama mishahara midogo aongeze tunapenda redio yake sababu ya watangazaji makini na ana bahati Wasafi aijafika mikoani
Siku zote biashara ukitaka ife, basi weka undugu. Katika biashara ukitaka iendelee kusimama, wrka watu baki ambao wataogopa kufanya hujuma yoyote kwa ajili ya kulinda kazi yao. Naitabiria Efm kifo baada ya muda fulani. Hii ni kwa sababu, atakachotaka Elizabeth kipite hata kama ni cha kijinga kisicho na maslahi ndicho kitapita. Isitoshe huyu ni msanii, sasa mafunzo ya utanfazaji amepata lini?
Majizzo ajitafakari Kama mishahara midogo aongeze tunapenda redio yake sababu ya watangazaji makini na ana bahati Wasafi aijafika mikoani
Basi poa tunasubiria frequency za Wasafi mikoaniHyo ni Biashara huria.
Kama mkataba WA kitenge umeisha na hakutaka kuongeza utamlaumu vipi majizzo?
Hata hivyo efm Bado haiskiki Tanzania yote
[ Lakini inatusua mbaya
Tupo watanzania zaidi ya MIL 60.Basi poa tunasubiria frequency za Wasafi mikoani
Wana umoja na upendo wa kweli kindugu, anajua nikiua hii biashara ndugu watanitenga, sisi watu weusi tuna tamaa, hatuna heshima,waongo, wezi, wavivu, hatunaga sense of ownership na tumejaa hila unaona hata nikila au kufirisi hii biashara wataishia kunilaumu tu, wakati wahindi ukileta ujinga kwenye biashara wanakutenga bila huruma ndugu wote.Kwanini biashara za wahindi zinafanywa kindugu lakini hazifi ?
Simpendi sana kitenge..Maulid Kitenge Kiungo Muhimu Sana Kwenye Habari Za Michezo Sina Namna Inabidi Nianze Kusikiliza Wasafi FM Kumsikiliza Chumvi
Wahindi wanajitambua na wanaoana ndugu kwa ndugu.Kwanini biashara za wahindi zinafanywa kindugu lakini hazifi ?
Sawa kwenye michezo lakini siwez kumuacha MMpoki ujanielew nduguTupo watanzania zaidi ya MIL 60.
kila mtu atasikiliza redio au kipindi anachokipenda.
Kama wewe umeipenda efm kwa ajili ya kitenge wapo walioipenda efm kwa ajili ya hando, dina Mario's n.k
kuhama radio sababu ya mtangazaji ni ulimbukeni
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Kwa hiyo waafrika weusi hatupendaniWana umoja na upendo wa kweli kindugu, anajua nikiua hii biashara ndugu watanitenga, sisi watu weusi tuna tamaa, hatuna heshima,waongo, wezi, wavivu, hatunaga sense of ownership na tumejaa hila unaona hata nikila au kufirisi hii biashara wataishia kunilaumu tu, wakati wahindi ukileta ujinga kwenye biashara wanakutenga bila huruma ndugu wote.