Mama mwenye Radio E FM amekuwa mtangazaji baada ya Maulid Kitenge kuondoka

Mama mwenye Radio E FM amekuwa mtangazaji baada ya Maulid Kitenge kuondoka

Atakua analipwa ngapi kwa mwezi ?

20 m inaweza fika ?!
Leo Kitenge kawa dhahabu. Huyu huyu aliyekandiwa eti hamfikii Muyenji wa Gamba (RIP) as if kwenda nje ndiyo kila kitu.

Maulid ni talented na innovative sana. Kama Wasafi wamevunja bank kuwa naye, hawatajutia uamuzi wao.

Junatatu nitakuwa nao much as I hate Mond.
 
Siku zote biashara ukitaka ife, basi weka undugu. Katika biashara ukitaka iendelee kusimama, wrka watu baki ambao wataogopa kufanya hujuma yoyote kwa ajili ya kulinda kazi yao. Naitabiria Efm kifo baada ya muda fulani. Hii ni kwa sababu, atakachotaka Elizabeth kipite hata kama ni cha kijinga kisicho na maslahi ndicho kitapita. Isitoshe huyu ni msanii, sasa mafunzo ya utanfazaji amepata lini?
Kwanini biashara za wahindi zinafanywa kindugu lakini hazifi ?
 
Ninadhan father house anatafuta attention ya watu baada ya Kitenge kuondoka na ameona mother house ni kipenzi cha wengi.
Shida n kipenz cha watu wa Aina gan? Je n kipenz cha Aina ya watu ambao n wasikilizaj was kipind husika au n kupoza hata walio kua wakiendelea kusikiliza kbisa
 
Majizzo ajitafakari Kama mishahara midogo aongeze tunapenda redio yake sababu ya watangazaji makini na ana bahati Wasafi aijafika mikoani
Hata hivyo efm Bado haiskiki Tanzania yote
 
Siku zote biashara ukitaka ife, basi weka undugu. Katika biashara ukitaka iendelee kusimama, wrka watu baki ambao wataogopa kufanya hujuma yoyote kwa ajili ya kulinda kazi yao. Naitabiria Efm kifo baada ya muda fulani. Hii ni kwa sababu, atakachotaka Elizabeth kipite hata kama ni cha kijinga kisicho na maslahi ndicho kitapita. Isitoshe huyu ni msanii, sasa mafunzo ya utanfazaji amepata lini?

Biashara haiwezi kufa kwa kumuweka ndugu bali inakufa kwa kutofata misingi ya biashara !

Lulu ni mtangazaji mzuri ana fundishika vizuri na anao uwezo mzuri tuu anafundishika vizuri tuu!
Swala la watu kukataa mabadiliko ni swala la kawaida kabisa... maana wamemzoea Kitenge hivyo bado yuko kichwani mwao ni muda tuuu!

Lulu anao uwezo mzuri tuu watamkubali baadaye....
 
Huo no mkakati...lulu yupo hapo kuchezesha dish kwa muda wakati akitafutwa atakayefit nafasi hio.
 
Basi poa tunasubiria frequency za Wasafi mikoani
Tupo watanzania zaidi ya MIL 60.
kila mtu atasikiliza redio au kipindi anachokipenda.
Kama wewe umeipenda efm kwa ajili ya kitenge wapo walioipenda efm kwa ajili ya hando, dina Mario's n.k
kuhama radio sababu ya mtangazaji ni ulimbukeni
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Kwanini biashara za wahindi zinafanywa kindugu lakini hazifi ?
Wana umoja na upendo wa kweli kindugu, anajua nikiua hii biashara ndugu watanitenga, sisi watu weusi tuna tamaa, hatuna heshima,waongo, wezi, wavivu, hatunaga sense of ownership na tumejaa hila unaona hata nikila au kufirisi hii biashara wataishia kunilaumu tu, wakati wahindi ukileta ujinga kwenye biashara wanakutenga bila huruma ndugu wote.
 
Tupo watanzania zaidi ya MIL 60.
kila mtu atasikiliza redio au kipindi anachokipenda.
Kama wewe umeipenda efm kwa ajili ya kitenge wapo walioipenda efm kwa ajili ya hando, dina Mario's n.k
kuhama radio sababu ya mtangazaji ni ulimbukeni
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Sawa kwenye michezo lakini siwez kumuacha MMpoki ujanielew ndugu
 
Wana umoja na upendo wa kweli kindugu, anajua nikiua hii biashara ndugu watanitenga, sisi watu weusi tuna tamaa, hatuna heshima,waongo, wezi, wavivu, hatunaga sense of ownership na tumejaa hila unaona hata nikila au kufirisi hii biashara wataishia kunilaumu tu, wakati wahindi ukileta ujinga kwenye biashara wanakutenga bila huruma ndugu wote.
Kwa hiyo waafrika weusi hatupendani
 
Back
Top Bottom