wingatereza
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 1,334
- 1,722
Nimecheka japo nina majonzi kwa Eric kumpoteza mama yakeInatia kichefu chefu kusoma comment yenye udhaifu wa lugha, yaani hata neno 'labda' hulijui unaandika "lamda"???
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzo 27:29,Mataifa na wakutumikie Na makabila wakusujudie, Uwe bwana wa ndugu zako, Na wana wa mama yako na wakusujudie. ATAKAYE KULAANI ALAANIWE, Na atakayekubariki abarikiwe...MUNGU amuweke mahala pema mama Kabendera..mnaosababisha mama zetu wafe kwa mawazo mlaaniwe vizazi vyenu vyote, mama zenu, shangazi zenu, binamu zenu, watoto wenu, wajukuu zenu na mpaka kuku wenu wafe pia kama ambavyo wamekufa ndugu zetu kwa sababu zenu!
Watageuka wote ni muda tu, wewe wasubirie kila Jambo huwa na mwisho wanaoshabikia ujinga Kwa kumfananisha mtu na MUNGU iposiku watajua kuwa wanatetea shetani wewe subiri, kumbuka Mwaka 2016 had 2017 kulikuwa na vijana humu waliokuwa wanatetea utawala had ukipinga tu wanakushambulia Kama nyuki na ndio waliotawala hili jukwaaa miaka hiyo walipatizwa book Saba toka lumumumba 2018 walipuputika Kama majani ya muembe kipindi cha kiangazi maaana walikuwa wanatumiwa na mwigulu, makamba, nape, na wengne ambae bado wako kwenye nafas hivi hao vijana humu unawaona? Hawapo wamebaki vijana wa makonda tu humu tena wachache Sana nao watageuka mmoja had mwingneWewe britanicca si ulikua mnazi wa upande wenye makali ya nchi?
Vipi umekengeuka tena?
PoleSiku yangu imeharibika asubuhi hii. Nalia sana jamani, nabubujikwa na machozi ya uchungu juu ya maumivu ya huyu mama yaliyopelekea mauti yake. Niliwahi kusema kinachoniumiza juu ya sakata la Kabendera sio yeye Kabendera bali mama yake.
R.I.P Mom [emoji24][emoji24]
Kwahiyo na wewe unaamini Erick alitakatisha pesa na kuhujumu uchumi, na upelelezi wa kesi yake ni mgumu sana kukamilika, na kwamba wako sawa wanavyoipiga danadana kesi yake? Ubarikiwe mkuu kwa mawazo yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh [emoji23][emoji23][emoji28]
Ila paskali [emoji57][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kweli wewe ndo uliemchongea Erick basi karma itaanza na wewe.
Ina maana wewe hata shule hukwenda halafu unaweza kuingia jf...duh!
Namkumbuka zuzu mmoja alijiuta @Msalani na RitzWatageuka wote ni muda tu, wewe wasubirie kila Jambo huwa na mwisho wanaoshabikia ujinga Kwa kumfananisha mtu na MUNGU iposiku watajua kuwa wanatetea shetani wewe subiri, kumbuka Mwaka 2016 had 2017 kulikuwa na vijana humu waliokuwa wanatetea utawala had ukipinga tu wanakushambulia Kama nyuki na ndio waliotawala hili jukwaaa miaka hiyo walipatizwa book Saba toka lumumumba 2018 walipuputika Kama majani ya muembe kipindi cha kiangazi maaana walikuwa wanatumiwa na mwigulu, makamba, nape, na wengne ambae bado wako kwenye nafas hivi hao vijana humu unawaona? Hawapo wamebaki vijana wa makonda tu humu tena wachache Sana nao watageuka mmoja had mwingne
Sent using Jamii Forums mobile app
Kafariki jamani, wamehujumu aman ya moyo wake hadi Umauti kumpata
Hivi pale mbinguni tutajibu nini
Familia ya Erik Mpola nebyemba