TANZIA Mama mzazi wa Tuly Nasa (Kada wa Chadema aliyefariki wiki iliyopita) naye afariki dunia

Na huyu kijana aliyemshika mama, ajiangalie. Wengine wamevaa barakoa ila wao hawakuamini kama Tuly amefariki kwa Corona eh?
Upumbavu na ujinga ndio ndoano yetu ya kuukwaa huu ugonjwa
 
Mwaka huu wazee hatutoboi.......tutaacha wajane wengi sana.....maana sioni pa kutokea........

Liwalo na liwe maana hakuna namna......mpaka huu ugonjwa upite vijana watakuwa wameshatajirika na mirathi na wengine kuuwana kwa kugombea mirathi....maana imeshakuwa tete......
 
We ndio Vicky Kamata nini?
 
Corona siyo!!,Mama nae kaondoka kisa alimuuguza mwanae![emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 1707059View attachment 1707060
Hat
Corona siyo!!,Mama nae kaondoka kisa alimuuguza mwanae![emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 1707059View attachment 1707060
Halafu kiongozi Mkuu anasema hakuna Korona tusitishane. Kuna familia Mpwapwa bi mkubwa alienda kumtazama jirani mwenye Korona Kwa kuwa ni majirani alikuwa akienda mara Kwa mara, jirani kafariki, yeye kaupeleka nyumbani kafariki na binti yake kamfuata.
 
Msongo was mawazo umemuondoa
Hata ukiangalia hyo picha hi ata kulia ameshindw
Mbaya Sana jaman
RIP
 
Mkuu mbona kama kauli ya kukata tamaa...hapana tuendelee kupambana mpaka mwisho..
 
Nakumbuka mwaka jana mwezi wa 12 kuna mzee mtaani kwetu alikufa ghafla tu
Mchungaji akatoa maelekezo hakuna kuangalia mwili wa marehemu kwenye jeneza
Ilitembezwa picha tu nadhani huu utaratibu ungetumika
Sasa nikitaka kufanya ufufuo je?
 
Mama na huyo wa kiume hawana barakoa, siwezi kuthibitisha kam Corona ndio umewaondoa lakini ni vyema tuchukue tahadhari kujilinda.
Hiyo lazima ni corona. Hawakuchukua tahadhali
 
Tuchukue tahadhari jamani,hali inaonekana huku mitaani kwani hali ni mbaya,kila mmoja awe kiongozi wa watu wake wa karibu kwani hatua zilizochukuliwa na mamlaka zinaonekana


,kwahiyo tusikaze mishipa kujiachie kwa upana...
 
Usisikie kufiwa na mwana ama mzazi wewe.
Ni rahisi kuchukulia Poa iwapo si wewe lakini.
 
Mama na huyo wa kiume hawana barakoa, siwezi kuthibitisha kam Corona ndio umewaondoa lakini ni vyema tuchukue tahadhari kujilinda.
ndio, wapo hawa mawaziri wanaounga mkono Rais kutovaa barakoa. Corona ipo itawatia adabu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…