fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,026
- 22,549
Na huyu kijana aliyemshika mama, ajiangalie. Wengine wamevaa barakoa ila wao hawakuamini kama Tuly amefariki kwa Corona eh?Chadema inatangaza msiba wa mama mzazi wa Tuly Nasa aliyekuwa kada wa Chadema ambaye kwa sasa ni marehemu aliyezikwa wiki iliyopita. Msiba umetokea leo alfajiri.
Wiki iliyopita mama huyo alikuwa mzima na alishiriki mazishi ya mwanaye huyo wa kike.
Picha mama mwenye nguo nyeupe (ambaye amefariki dunia mapema leo) akimuaga mwanaye marehemu Tuli Nasa.
View attachment 1707061
Upumbavu na ujinga ndio ndoano yetu ya kuukwaa huu ugonjwa