Mama mzuri na bora ni yule anayelinda watoto wake

Status
Not open for further replies.

Lamomy

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2023
Posts
43,349
Reaction score
104,110
Mama hauwi watoto wake, bali huwakumbatia na kuwalinda.

Hata vitabu vya dini vinasema, Mtoto wako akiomba mkate huwezi kumpa jiwe.

Hata sisi tuliomba haki hatukustahili kupewa vifo, vilema na majeraha..!!

Kama kulikua na makosa mama anatumia kiboko kukanya na kuadhibu na sio risasi za moto.

Tumekubali kuwa yatima ila sio kunyanyaswa kwenye mji aliotuachia baba yetu.
 
Haki gani mliyoomba mbwa nyinyi,haki ya kuchoma Mali za umma na binafsi?..hebu muulize bill nas kama anaona mlikua mnadai haki
 
593d20cd1be94c6ba3bf2dd383b1cabc.jpg
 
Bibi netanyahu chaliiii, alianza kwa jeuri kashituka watu wako mbele ya muda Sasa anawaita wazungumze , nani Sasa labda masheikh ubwabwa ambayo hata MZEE mwenzao Ali kibao hawaumizi nafsi zao nakuona haikua ungwana kwa alichofanyiwa
Unadhani serikali ina shida na mazungumzo, mkitaka mtaenda msipotaka shauri yenu,hiyo ni diplomasia tu
 
Eti gallow bird komaaa KABISA nakukanya, watu tuna uchungu mtu umepiga kura unatolewa nje unapigwa risasi nakuuliwa hiyo ni busara lengo hasa lilikua nini kwa hao usalama kama si unyanyasaji tu
 
Kama waandamanaji wasingechoma office na kuharibu baadhi ya mali za raia binafsi na mali za umma wasingeuwawa na baadhi yao kujeruhiwa, "kwan mtoto alilia wembe" so walipata matunda yao.
 
Huyu mama anaeathamini Wanu na Abdul tu.

Mzee Kibao alipokufa alisema kifo ni kifo tu'

Baada ya vurugu za 29.10 akasema kuna wahalifu toka nchi jirani wameleta vurugu nchini. Shubamiti! Leo ni nini kimemfanya kulegeza madhavu na kukiri?

09 D atatuambia vizuri
 
Ajabu sana.
Ilitakiwa akemee hayo toka muda.
 
Haki gani mliyoomba mbwa nyinyi,haki ya kuchoma Mali za umma na binafsi?..hebu muulize bill nas kama anaona mlikua mnadai haki
Wapemba mnafurahisha sana. Kufika Dar na kuuza kashata mmekuwa na kiburi kuliko wenye nchi yao.
 
Haki gani mliyoomba mbwa nyinyi,haki ya kuchoma Mali za umma na binafsi?..hebu muulize bill nas kama anaona mlikua mnadai haki
We guluguja umekazania hizo mali kama vile unamiliki hata moja.

Kwanza wewe unamiliki mali gani?

Huna hata basi, jinga la Lucas Mwashambwa.

Wacha wenye mali watambe, na sio weye.

Weye utachomwa kibwenye siku ya maandamano ya uhuru.
 
Kama kulikua na makosa mama anatumia kiboko kukanya na kuadhibu na sio risasi za moto.

Tumekubali kuwa yatima ila sio kunyanyaswa kwenye mji aliotuachia baba yetu.
Nimecheck ile ya jamaa waliosimama getini wanapiga story wenyewe hawana hili wala lile mara jamaa hawa hapa na mitutu ya bunduki, nikasema hawa jamaa ni majangili mboni km wanaua tembo mtu kashakufa tayari wao bado tu wanashindilia marisasi, mama midamu ameona ile mijitu aliyoituma ikaue ilichokua inakifanya?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom