Haki gani mliyoomba mbwa nyinyi,haki ya kuchoma Mali za umma na binafsi?..hebu muulize bill nas kama anaona mlikua mnadai hakiMama hauwi watoto wake, bali huwakumbatia na kuwalinda.
Hata vitabu vya dini vinasema, Mtoto wako akiomba mkate huwezi kumpa jiwe.
Hata sisi tuliomba haki hatukustahili kupewa vifo, vilema na majeraha..!!
Kama kulikua na makosa mama anatumia kiboko kukanya na kuadhibu na sio risasi za moto.
Tumekubali kuwa yatima ila sio kunyanyaswa kwenye mji aliotuachia baba yetu.
Haki gani mliyoomba mbwa nyinyi,haki ya kuchoma Mali za umma na binafsi?..hebu muulize bill nas kama anaona mlikua mnadai haki
Unadhani serikali ina shida na mazungumzo, mkitaka mtaenda msipotaka shauri yenu,hiyo ni diplomasia tuBibi netanyahu chaliiii, alianza kwa jeuri kashituka watu wako mbele ya muda Sasa anawaita wazungumze , nani Sasa labda masheikh ubwabwa ambayo hata MZEE mwenzao Ali kibao hawaumizi nafsi zao nakuona haikua ungwana kwa alichofanyiwa
Bila shaka wewe ni moja ya wale wanaoshinda humu kuwatibua watu ili mpate list ya mnaopaswa kuwaua. Haya endeleeniUnadhani serikali ina shida na mazungumzo, mkitaka mtaenda msipotaka shauri yenu,hiyo ni diplomasia tu
Ajabu sana.Huyu mama anaeathamini Wanu na Abdul tu.
Mzee Kibao alipokufa alisema kifo ni kifo tu'
Baada ya vurugu za 29.10 akasema kuna wahalifu toka nchi jirani wameleta vurugu nchini. Shubamiti! Leo ni nini kimemfanya kulegeza madhavu na kukiri?
09 D atatuambia vizuri
HakikaTumekubali kuwa yatima ila sio kunyanyaswa kwenye mji aliotuachia baba yetu.
Taahira hilo hajui machungu watu waliyonayo, anafananisha mali na uhai.Usiludie tena Kuni jibu marufuku qma lako, damu mlizo mwaga mtalea nyie familia zao?, unawatoa watu ndani unawapiga risasi una lengo gan? We qma kaa mbali na mimi
We mbona hujauawa?Bila shaka wewe ni moja ya wale wanaoshinda humu kuwatibua watu ili mpate list ya mnaopaswa kuwaua. Haya endeleeni
Wapemba mnafurahisha sana. Kufika Dar na kuuza kashata mmekuwa na kiburi kuliko wenye nchi yao.Haki gani mliyoomba mbwa nyinyi,haki ya kuchoma Mali za umma na binafsi?..hebu muulize bill nas kama anaona mlikua mnadai haki
We guluguja umekazania hizo mali kama vile unamiliki hata moja.Haki gani mliyoomba mbwa nyinyi,haki ya kuchoma Mali za umma na binafsi?..hebu muulize bill nas kama anaona mlikua mnadai haki
Naipataje hii ngom?KIKWETE ATOA KAULI KUHUSU MAANDAMANO YA GEN Z
Nimecheck ile ya jamaa waliosimama getini wanapiga story wenyewe hawana hili wala lile mara jamaa hawa hapa na mitutu ya bunduki, nikasema hawa jamaa ni majangili mboni km wanaua tembo mtu kashakufa tayari wao bado tu wanashindilia marisasi, mama midamu ameona ile mijitu aliyoituma ikaue ilichokua inakifanya?Kama kulikua na makosa mama anatumia kiboko kukanya na kuadhibu na sio risasi za moto.
Tumekubali kuwa yatima ila sio kunyanyaswa kwenye mji aliotuachia baba yetu.
Si ndo jina langu bado hujalipeleka. Lipeleke upate posho mkuu maana bila damu za watu. HuliWe mbona hujauawa?