Mama mzuri na bora ni yule anayelinda watoto wake

Status
Not open for further replies.
Galow unalipwa 50k kwa siku kuja kuwatibua watu au unashida ya akili tu inakusumbua kama unalipwa fanya kz dada kama ni wendwazim wako kameze dawa
vp kwan unalipwa kuchoma miundo mbinu?
 
Hawa mataahira wapo wengi humu, hapo analilia vipesa mbuzi ambavyo vinampelekesha kushabikia mauaji.

Pesa ambayo akitafuta anaipata bila laana za kujifyatua akili..
vp na wewe unalilia kuiba kwenye maduka
 
under laws, serikali ina sheria mfano ya kunyonga kwa ajili ya watu wake
 
Kwanza we una mali gani nakuona unafoka tu wakati huna hata mali πŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Eti weye, unamiliki mabasi gani hapa mjini? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
unataka kuiba na mali zake nn maaana hamchelewi
 
umejuaje ni devil kama na wewe sio devil mwenzake
Devil linapenda watu wafe lenyewe linywe midamu ya watu na kuioga baada ya hapo lianze kunuka damu na kuanza kusema zile damu nimezinywa sasa nyie ambao hamkufa tukawashika nimewasemehe sasa rudini tena mtaani mkaandamane tena barabarani ili niwafurumishie tena risasi mfe ninywe tena damu zingine
 
umezaliwa dar umesoma dar na umeiba dar
 
Devil mchoma mwendokasi mabasi ya watu sheli iba mitungi ya gesi simu nguo wezi wakubwa nyie
Sasa wewe mwendokasi ni mali ya watanganyika na gesi pia ni zao.

Usiwapangie watanganyika gesi zao. Watabeba venye wanataka.

Gesi asili. Chota kabisa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…